31/08/2026
WHAT HAPPENED TO FEISAL SALUM? π± | EP 1 β KUTOKA NYOTA HADI HAPA!
EP 01-WHAT HAPPENED TO FEISAL SALUM?KUTOKA NYOTA HADI HAPA LEO!
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
09/08/2026
-Yanga wakiuingia huu mtego wanaweza kupoteza mechi ya Community Shield...alichofanya Steve Barker ni ile code ya Sun Tzu kwenye Sanaa ya Vita aliyotusanua...Ukiwa na nguvu onesha udhaifu, ukiwa dhaifu piga mkwara mzito (βWhen you are strong, appear weak; when weak, appear strong.β) ndio maana uliwaona kina Mbegu sijui Semfuko pale nyuma wanamkaba Rupia.
Mwananchi akijichanganya akatumia nguvu nyingi kutaka kusawazisha makosa ya mwenzie anaweza kuchoka sana na kumbuka ana siku mbili tu za kupumzika ambazo ni jumatatu na jumanne...Jumatano ana mechi ngumu!
Usisahau, Simba watakuwa na faida ya siku 3 za kupumzika na kujiandaa huku nyota wake muhimu wakiwa hawajatumika sana leo!
Ukipata muda, Irudie game...Simba hawakuitaka kihivyo...Ni k**a ilivyokuwa kwa kina Jamus na Mogadishu halafu alipojipendekeza Sigida Black Stars wakampasua!
Huu ni mtego wananchi.
05/05/2026
NEO MAEMA FUTURE REMAINS UNRESOLVED.
NEO MAEMA FUTURE REMAINS UNRESOLVED.
ππππππππNeo Maemaβs future remains unresolved. Simba SC weighing up the permanent move but no green light yet. Al-Ittihad Tripoli want him. They are ...