Zanrope

Zanrope

Share

Hii page ni kwa ajili ya kampeni ya ya kuhamasisha na kuanzisha chama cha waruka kamba Zanzibar

05/04/2022

01/04/2022

Ally Jape Jumprope

30/03/2022

03/02/2020
31/12/2019

Sijui ni neno gani linamfaa huyu mdg wng ila naomba unisaidie ww maana mm kila nikimuona huwa naumwa na kichwa, nitamfikia siku moja ila sio leo wala kesho đŸ˜‚ usisahau kulike page yetu na k**a video imekuvutia pia like tafadhali

24/12/2019

Muda sahihi wa mazoezi ni asubuhi, nakukaribisha bichi ya Bububu kuja kujifunza kuruka kamba kitaalamu zaidi, karibu sana
Tunaomba sapoti yako juu ya hiki tunachokifanya
K**a umeikubali na wengine waone
Tutafute kupitia 0776222254 kwa sasa

Photos from Zanrope's post 19/12/2019

Urukaji wa kamba kwa muda wa saa moja huondosha calories 1000 mwilini, hivyo ni nzuri sana kwa afya yako
Share, comment and like

18/12/2019

Fitness is our circle of life

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Zanzibar City?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Zanzibar City
711XX