π΄π΅| TAARIFA.
Tunapenda kuwaarifu Mabadiliko ya Uongozi k**a ifuatavyo.
1.Mohamed Ali Shaibu-Mwenyekiti
2.Shaib Salum Shaib-Makamo Mwenyekiti.
3.Ali Salum Shaib-Katibu
4.Mundhir Yussuf Zubeir-Msaidizi Katubu
Chuoni FC
Klabu ya Chuoni ilianzishwa mnamo mwaka 1984 ni moja ya Klabu maarufu yenye washabiki Zanzibar
17/01/2023
π΄π΅| TAARIFA.
Tunapenda kuwaarifu kuwa Ndugu Yussuf Juma Haji(Pichani Kulia) atakaimu nafasi ya Katibu wa Klabu kuanzia leo hadi hapo itapotoka taarifa nyengine.
30/12/2022
π΄π΅| Obligado
PELE
π΄π΅| β
FT: Chuoni FC 1-1 Umoja Mbuzini FC
π΄π΅| β¬
FT: Paje Star FC 0-1 Chuoni FC
29/11/2022
Keep It Up ...
Khalid Babib Iddi jana kafunga Goli lake la pili tokea atue KMKM, kiukweli kijana Habib ni miongoni mwa wachezaji wanayoipa msada mkubwa Tim yetu
Allah amzidishie Afya njema.
π΄π΅| β¬
FT: Chuoni FC 2-1 Mundu SC
π΄π΅| β¬
FT: Guliono FC 0-2 Chuoni FC
π΄π΅| β
FT: RaskazoneFC 3-3 Chuoni FC
π΄π΅| β¬
FT: New King FC 3-0 Chuoni FC
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
P. O. Box 1396-Nyerere Zanzibar
Zanzibar City