Ndugu mashabiki, wapenzi na wadau wa Itezi United, tunawaomba radhi kwa kuondolewa kwa timu yetu kwenye mashindano ya Tulia Trust Uyole Cup 2026. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tutajitahidi kurejea kwa nguvu zaidi. Asanteni sana.
Credit Tulia Trust
official_itezi_united
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from official_itezi_united, Sports Team, Uyole.
romah Albert ambaye ni nahodha wa timu yetu akifunga penati dhidi ya Mbeya Boys kwenye mchezo uliomalizika Kwa Itezi United kushinda 1-0 mashindano ya Tulia Trust kwa msimu wa 2026
03/06/2026
👏👏Tumeanza msimu mpya wa mashindano ya Tulia Trust Uyole Cup 2026 Kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Isyonje✅
Nahodha wa timu yetu akizungumza na wanahabari baada ya kumalizia Kwa mchezo dhidi ya Isyonje FC kwenye mashindano ya Tulia Trust Uyole Cup 2026
Credit :
03/06/2026
🚨MATCH - DAY
🆚 ISYONJE FC
🏆 TULIA TRUST UYOLE CUP 2026
🏟️ UYOLE YA KATI ( MWAWINJI)
⏰ 16:30 PM (E.A.T)
02/06/2026
🚨NEXT- MATCH
🆚 ISYONJE FC
🗓️ 3•6•2026
🏆 TULIA TRUST UYOLE CUP 2026
🏟️ UYOLE YA KATI ( MWAWINJI)
⏰ 16:00 PM (E.A.T)
01/06/2026
Baadhi ya picha za matukio kwenye mchezo wa ngao ya Jamii mashindano ya Tulia Trust Uyole cup 2026 ,ambapo tulifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Chipukizi FC ,wafungaji wa magoli wakiwa ni na
25/04/2026
FRIENDLY GAME
FT:Itezi United 1-1 Nyandu Boys
25/04/2026
👊MATCH - DAY
👉Itezi United FC V
🏟️ : Itezi PS Ground
⏰ KO :16:00 PM
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Uyole