CoastalUnionfc

CoastalUnionfc

Share

https://youtube.com/shorts/C-q1aKTWi68?si=bZpR-wkl15aZOZiP Coastal Union is a Tanzanian football club based in Tanga.

They play in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League. Their home games are played at Mkwakwani Stadium

Photos from CoastalUnionfc's post 26/08/2026

"Wachezaji tuko salama na tumejiandaa vizuri kuwakabili Simba kwenye Mchezo wa Kesho.

Hamasa kwetu ni kubwa na tunawaheshimu Simba ila hatuwezi kuwahofia kwa namna yoyote kwasababu tunauhitaji wa Alama tatu muhimu kwenye Mchezo wa Kesho.

Niwaombe Mashabiki zetu waje kuipa nguvu Timu yao kwani tunawaahidi kuwapa furaha"

Saad Mwanza akizungumza kwa niaba ya Wachezaji kuelekea Mchezo wa Kesho dhidi ya Simba.

26/08/2026

"Jambo kubwa ni kupambana kupata Alama tatu, tunajua mpaka sasa tumepata Alama moja tu kwenye Michezo mitatu hivyo tunafanya jitihada kuelekea Mchezo dhidi ya Simba tupate Alama ili kujiweka nafasi nzuri zaidi.

Tunakwenda kukutana na Mpinzani bora na hii kwetu ni fursa ya kuzidi kuitengeneza Timu yetu kutokana na Mchezo wa Ushindani k**a huu"

Kocha Mkuu Fikiri Elias.

24/08/2026

Full -Time.

24/08/2026

Game on.
Coastal Union 1-1 TRA FC.

Photos from CoastalUnionfc's post 24/08/2026

Game on
Coastal Union 1-1 TRA FC.

Photos from CoastalUnionfc's post 24/08/2026

DK 68
Coastal Union 1-1 TRA FC.

24/08/2026

Kipindi cha pili kimeanza

24/08/2026

Half - Time.

Photos from CoastalUnionfc's post 24/08/2026

Mapumziko

24/08/2026

Kichuya anafunga Goli Dakika ya 38

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Street No. 11
Tanga
NGAMIANI,TANGA