Masuguru Fc

Masuguru Fc

Share

Ukurasa rasmi wa timu ya mpira wa miguu ya MASUGURU..|

Tupo Korogwe, Tanga.

08/08/2026

Heri ya siku kuu ya wakulima NaneNane Wana Masuguru Fc ..πŸšœπŸŒΎπŸŒ½πŸ§‘β€πŸŒΎ


22/07/2026



MARMAR CUP, JITENGENI MOMBO.

Cc
Martin Mhina

04/07/2026

ANAKUPASUA HUKU ANACHEKA (smiling killer)πŸ˜‚πŸ˜‚

Muite JUMA MANGA JR. jezi namba 7 mgongoni, huyu ndio Kiboko ya mabeki wavunja kuniπŸ™Œ

Walioshuhudia fainali waliona Moto wa nahodha. TOP SCORER WA MASHINDANOπŸ‘


02/07/2026

𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 π˜π€ π–π€π™πˆ π˜π€ π’π‡π”πŠπ‘π€ππˆ

Sisi, Mabingwa wa Mashindano ya Njama Amani na Uzalendo Cup 2026 – Masuguru FC, tunatoa shukrani za dhati kwa Mh. CPA Charles Njama, Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, kwa kuanzisha na kufanikisha mashindano haya yaliyowaleta pamoja wananchi, kuibua vipaji vya vijana na kuimarisha amani, umoja na uzalendo katika Korogwe.

Tunampongeza kwa maono yake ya kuendeleza michezo k**a chachu ya maendeleo ya jamii. Aidha, tunatoa shukrani za pekee kwa M***i Aboubakr bin Zuber kwa mchango wake mkubwa katika kufanikisha mashindano haya. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwaongezea afya na hekima.

Pia tunaomba wadau wa michezo waendelee kuiunga mkono sekta hii ili vipaji vya vijana wa Korogwe viendelee kukua na kurejesha heshima ya michezo katika wilaya yetu.

Tunatumaini Njama Amani na Uzalendo Cup itaendelea kuwa mashindano ya kudumu na yenye mafanikio makubwa zaidi kila mwaka.

Imetolewa na:

Mabingwa wa Njama Amani na Uzalendo Cup 2026 – Masuguru Fc

30/06/2026

Sio kuwafunga Tu, na Chenga tumewalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Muite Magician Benjamin German JaJa ukimuona yeye umeiona burudani ya Mpira.

ItonesheπŸ”₯

30/06/2026

Viungo wenu wote ni Bora kabla hawajakutana na hiki Chuma...πŸ™Œ

Muite Omary Ngomero Maestro, unavyokuja ndivyo anavyokupokea.

Masuguru inajivunia Sana uwepo wako "THE TANK MAESTRO"


29/06/2026

MASHABIKI BORA ZAIDI KOROGWE

Asanteni kwa jasho mlilovuja Jana kuhakikisha wachezaji wetu hawajisikii unyonge hata kwa dakika moja.

Muite MAN KIPEπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


29/06/2026

ᴍᴀʙΙͺΙ΄Ι’α΄‘α΄€ Ι΄α΄Šα΄€α΄α΄€ ᴀᴍᴀɴΙͺ Ι΄α΄€ α΄œα΄’α΄€ΚŸα΄‡Ι΄α΄…α΄ α΄„α΄œα΄˜ 2026

Historia imesimikwa, tangu korogwe iumbwe hakuna Timu imewahi kushinda mashindano yenye thamani kubwa kuzidi sisi✍️

Asante Sana Mbunge wetu Mh. CPA(T) Njama, hakika korogwe imefurahia hii KUBWA KULIKO, Mwakan tena MkuuπŸ™

Sisi ndio Timu pekee inayopokea hesabuπŸ˜‚


28/06/2026

SISI NDIO MABINGWA WA HIZI KAZIπŸ’ͺπŸ’ͺ

Tunatafta SHANTA wa chombo yetu mpyaaaπŸ˜‚

Asante kwa kila aliyejitoa kuipambania heshima ya mtaa wetuπŸ”₯πŸ”₯



28/06/2026

KILA LA KHERI WANAJESHI WETU πŸ™

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Masuguru
Tanga
615