Pande Cup

Pande Cup

Share

'Ligi Moja. Upendo Mmoja. Vumbi Moja.' ⚽️⚽️

23/08/2026

Mpriani (Uruguayi) Kiomoni Tanga Pande Cup 2025 recap.. 🔥⚽️🔥⚽️

🇹🇿

23/08/2026

Champion wa Pande Cup - Challenge 🎶🔥⚽️

🇹🇿

23/08/2026

Champion wa Pande Cup 🥰🎶

🇹🇿 🇹🇿

20/08/2026

Soka ni la mchangani, lakini lifestyle yetu ni ya kishua! 🛒😎✨

Msimu huu wa Pande Cup 2026, tumeamua kuja kivingine kabisa! Vumbi na jasho vinaishia uwanjani — mtaani tunatembea tukiwa tunang'aa na Skymart Supermarket Goba!

Kutoka kwenye maji baridi ya kata-kiu, energy drink za kurudisha pumzi, mpaka sabuni kali za kung'arisha jezi... Kila 'Mchezaji Hatari' msimu huu anavuta vocha yake ya kutosha kufanya kufuru hapa! 🛍️⚡

Timu yako inasubiri nini kusajiliwa?
🔗 Bonyeza LINK KWENYE BIO usajili kikosi chako SASA!

🏆 Pande Cup 2026: Ligi moja • Upendo mmoja • Vumbi moja... na swagga za kishua kutoka Skymart!

18/08/2026

TUNACHEZA VUMBINI — LAKINI MFUMO WETU NI WA KISHUA!🔥

Pande Cup 2026 imeanza kuchanganya mambo! 🏆⚽
Na safari hii, tumeungana na **Skymart Supermarket ** kuhakikisha kila tukio, kila goli na kila mshangao unapata ladha yake. 😎🔥

Hii siyo game ya kawaida… ni Pande Cup!
Vumbi litapaa. Ushindani utawaka. Wachezaji watajitoa. Na sisi tupo kuhakikisha burudani iko **LEVEL YA JUU!** 💥

🎥 **Tazama video.**
📲 **Jiandae na Pande Cup 2026.**
🛒 **Skymart Supermarket Goba — tunawashukuru kwa kusimama nasi!**

👉 http://www.pandecup.co.tz

🔥🏆

14/08/2026

Hivi hawa ni ligi kuu ya Uingereza au? Mtu aniambie hii ni ligi ya mchangani au?

🇹🇿

11/08/2026

Umesikia? 👀

Mwaka huu, ubingwa wa Pande Cup hautakuja na heshima pekee…

Kuna kitu KIKUBWA kinamsubiri bingwa. 🐄🏆

Lakini kwanza…

LAZIMA UPITIE VUMBI. 😤🔥

PANDE CUP 2026
Dar es Salaam × Tanga

LIGI MOJA. ❤️
UPENDO MMOJA.
VUMBI MOJA.

👀 Usikose kinachokuja.

15/04/2026

Pande Cup 2025 Recap Grand Opening at Kivuleni Primary School June 30.

30/03/2026

Champion Wa Pande Cup, sikiliza full song and full Vumbi La Dhahabu EP on Boomplay or wherever you get your music.!!

06/03/2026

Pande Cup 2025 Recap | Mpirani (Uruguayi)

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Kivuleni Street Tanga
Tanga
21101