Abajalo Football CLUB - Igunga

Abajalo Football CLUB - Igunga

Share

nginjanginja Abuja

13/03/2018

Full time uwanja wa sabasaba igunga abajalo fc1-2 Polisi Igunga
Tumepoteza mechi cha msingi tujipange kwa ajili ya mechi ingine

13/03/2018

KIKOSI CHA ABAJALO KITAKACHOINGIA UWANJANI LEO DHIDI YA POLISI IGUNGA,
DUA ZENU NI MUHIMU ILI TUWEZE KUPATA USHINDI WADAU.
sawa na wao

Photos 17/04/2017

TAREFA huyu jamaa amewapa nini? ndio amehusika 75% kuharibu ligi daraja la tatu msimu huu kwa matokeo ya uwanjani ila bado leo mmempa mechi Rhino dhidi ya Simba acheze,kwani hamna waamuzi wengine mkoa huu?

01/04/2017

Bingwa "katangazwa" msange jkt na mshindi wa pili "katangazwa" boma fc tutawajuza chochote klabu itakavyoamua.

31/03/2017

MUNGU ibariki ABAJALO FC. tunaamini kesho tutatangazwa MABINGWA wapya wa mkoa wa TABORA.

23/03/2017

MATOKEO ya mchezo wetu wa jana dhidi ya Msange JKT hayakuwa mazuri tulipoteza kwa mabao 2-0 bahati haikuwa yetu hivyo inatulazimu tusubiri mpaka mechi ya mwiso ya Msange JKT dhidi ya Kurugenzi ya wilayani Nzega ili kujua k**a tutatwaa ubingwa wa MKOA ama tutashika nafasi ya pili.

21/03/2017

HABARI ZA JIONI WAPENDWA? kesho tunamchezo mmoja wa mwisho dhidi ya Msange JKT mechi ambayo tunahitaji pointi moja tu ili tutawazwe kuwa MABINGWA wapya wa MKOA WA TABORA tunawaombeni mtupe sapoti yenu wadau wa soka ili tuweze kuiwakilisha vyema wilaya yetu ya IGUNGA. Khamis Gulamali na DP we love you..

16/02/2017
16/02/2017

Vivaaaaa

Photos 24/11/2016

CHAMA LA WANA..

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Newala?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Newala