30/05/2026
Sijui Arsenal wakibeba ubingwa tutaweka wapi sura zetu…
Ukiona anahojiwa lazima atajwe, ukiona Asmah hajahojiwa basi Ally Kamwe ataonekana kwenye post ya Asmah.
sports
30/05/2026
Sijui Arsenal wakibeba ubingwa tutaweka wapi sura zetu…
Ukiona anahojiwa lazima atajwe, ukiona Asmah hajahojiwa basi Ally Kamwe ataonekana kwenye post ya Asmah.
Sijui itakuwaje lakini nipo TIPS MIKOCHENI nipo na
30/05/2026
Hii picha imepigwa leo usiku
30/05/2026
Zinapatikana Moshi mjini
29/05/2026
Kashesheeeee
Mamelodi wa motoooooo
29/05/2026
Katika historia ya michezo, kuna viongozi wanaopita na kusahaulika, lakini wapo wachache wanaoacha alama zisizofutika.
Mmoja wao ni , jina ambalo sasa limekuwa sehemu ya historia ya mpira wa kikapu Tanzania.
Kabla ya ujio wake, ndoto ya kuona klabu ya Tanzania ikipambana na vigogo wa Afrika katika Basketball Africa League (BAL) ilionekana k**a simulizi la mbali.
Dar City imeandika historia ya kufika hatua ya robo fainali, mafanikio ambayo hayajawahi kushuhudiwa Tanzania.
Lakini nyuma ya mafanikio hayo kuna mtu mmoja aliyethubutu kuota ndoto kubwa kuliko wengi walivyoweza kufikiria M***a Mzenji.
Safari yake haikuanza Dar City. Aliwahi kuiongoza Pazi, klabu iliyofanikiwa kufika hatua ya Elite 16 mwaka 2023.
Baada ya hapo, Mzenji hakuridhika. Akaamua kuanzisha klabu yake ya Dar City ambayo walianza D League kuanzia mavumbini. Wakatwaa ubingwa wa D na kuwa mabingwa
Wakati wengine waliona changamoto, yeye aliona fursa.
Dar City ilianza kutikisa majukwaa ya kikapu. Kwanza wakatwaa ubingwa wa ngazi ya mkoa, wakatwaa ubingwa wa taifa. Baadaye wakapenya Road to BAL na kufuzu BAL yenyewe.
Wahenga walisema, “Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe.” Lakini kwa M***a Mzenji, kila jiwe lililotupwa njiani limekuwa msingi wa kujenga mafanikio makubwa zaidi.
Mwandishi na mshairi mmoja aliwahi kusema, “Historia huandikwa na wale wanaothubutu.” Mzenji amethubutu. Ameota. Amewekeza. Ameamini.
K**a kuna mtu anayestahili kuitwa kinara wa mapinduzi ya basketball ya Tanzania katika zama hizi, basi jina hilo ni M***a Mzenji.
Unadhani ilikuwa rahisi kuifunga Petro Luanda? La Hasha, nakukumbusha kuwa kabla ya hapo, wamefika fainali tatu na kubeba moja achana na fainali hii wanayoingia baada ya kuitoa Dar City.
Ndoto kubwa zinahitaji watu wenye ujasiri mkubwa.
29/05/2026
Tunakufungulia Dunia Malkia wa nguvu
29/05/2026
Kwa wachezaji wetu wengi tulio nao wenye vipaji k**a taifa basi Edmund ni Miongoni mwa vijana hao. Ana kipaji kikubwa, amepata exposure ya kutosha. Kwa bahati ujio wake Yanga alikumbana na changamoto kidogo ya majeraha na kumnyima nafasi ya kuwa na utimamu wa kimwili. Nina matumaini makubwa na kipaji chake. Umri wake unamruhusu kufanya makubwa, muda anao wa kutosha, platform ya Yanga ni njia sahihi.
29/05/2026
K**a hukuniona nikiwa na miaka 16 basi muangalie huyu fundi. Basi tu nilikuwa Rombo. Nendeni Usseri kaulizeni shughuli yangu.
29/05/2026
Huyu ndiye Nahodha Mtanzania mwenye mafanikio makubwa zaidi Tanzania baada ya Mbwana Samatta.
Tubishane…