28/08/2026
WANANCHI EMBU TUONESHENI SUPPORT KWA KU-FOLLOW YA HUYU DADA.
LINK HII HAPA https://www.facebook.com/profile.php?id=100083670391800
CHAP CHAP TUKAONESHE NGUVU YETU WANANCHI.๐ซ๐๐
True fans of young Africans kwa washabiki wa kweli
28/08/2026
WANANCHI EMBU TUONESHENI SUPPORT KWA KU-FOLLOW YA HUYU DADA.
LINK HII HAPA https://www.facebook.com/profile.php?id=100083670391800
CHAP CHAP TUKAONESHE NGUVU YETU WANANCHI.๐ซ๐๐
21/03/2026
Unataka habari za Michezo follow hii page utakuja kunishkuru badae ๐
https://www.facebook.com/profile.php?id=100083670391800
17/03/2026
WANANCHIIIIIIIII
Naombeni mpeni support huyu mwana Dada katika page yake ya Michezo Link nawawekea hapo chini ni mtoa taarifร za Michezo za uhakika kwa wakati...!ยก! Tafadhali รฑaombeni mumpe support zenu๐๐
Link hii hapa ๐
https://www.facebook.com/profile.php?id=100083670391800
10/04/2024
Tarehe 20 Yupo wakuu.
Si wenyewe mnaona kaingia kupasha misuli๐
Follow ๐๐๐๐ฆ ๐จ๐ ๐๐ข๐ญ๐ข๐ณ๐๐ง๐ฌ
16/11/2023
HEE !!! MIAKA 15 ?
Nimfash Berchimas mwenye umri wa miaka 15 ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuiwakilisha na kuifungia Marekani kwenye Kombe la Dunia la Wanaume U17 tangu Freddy Adu mwenye umri wa miaka 14 kufanya hivyo mwaka wa 2003.
2003 : Freddy Adu alifunga mabao manne katika michezo yake miwili ya kwanza kwenye Kombe la Dunia la U17
2023 : Nimfash Berchimas afunga mabao matatu katika mechi zake mbili za kwanza kwenye Kombe la Dunia la U17
[Chanzo : BR Football]
Follow Team of Citizens
06/10/2023
Habari kubwa sasa kwenye Social Media ni Group Stage ya Champions League. Na 70% ya watu wanajadili kuhusu Kundi letu Wananchi .. ๐
Hii inatoa picha ni kwa Jinsi Gani Brand ya YangaSc ni kubwa na Inavutia wengi kuizungumza..
Ni nzuri hii Lakini kwa sasa, ombi Langu kwa Mashabiki na Wanachama tusiingie kwenye mtego wa kuiwaza Novemba wakati Oktoba bado Hatujaimaliza.
Hatua ya Makundi itaanza Novemba .. Lakini kesho, Oktoba 7 hapa CCM Kirumba Tuna Jambo zito kweli kweli.
Tuna mchezo mgumu wa kuzisaka Pointi 3๏ธโฃ dhidi ya timu ngumu ya Geita Gold .. Tuweke Focus yetu hapa kwa sasa.
Yoyote atakayeanzisha mjadala wa Group Stage kwenye kundi Lolote la WhatsApp.. Mwambieni Asubiri kwanza .. YangaSc Inashida na hizi pointi 3๏ธโฃ za Kesho
Dua, hamasa ziwekwe hapo .. Tukijielekeza mno kuijadili Group Stage itafanya tuingie kesho tukiwa hatuko 100% na umakini mbele ya Geita ..
Tulimalize hili la kesho Wananchi .. ๐ Mengine yatafata.
โ๏ธ Team of Citizenss
06/10/2023
24/25 Nov: CR Belouizdad - Away
ALGERIA
1/2 Dec: Al Ahly - Home
DSM
8/9 Dec: Medeama - Away
GHANA
19 Dec: Medeama - Home
DSM
23/24 Dec: CR Belouizdad - Home
DSM
1/2 Mar: Al Ahly - Away
EGYPT
06/10/2023
AL AHLY ๐ช๐ฌ
CR BELOUIZDAD ๐ฉ๐ฟ
YOUNG AFRICANS ๐น๐ฟ
MEDEAMA SC ๐ฌ๐ญ
Hili ndilo group la young africans mabingwa wa Tanzania ๐น๐ฟ wananchi tuna kazi muhimu na ngumu ya kufanya kuhakikisha tuna fuzu kwenda hatua ya robo final
06/10/2023
"Nafahamu kesho tutakuwa na mchezo mgumu na sijui hali ya Uwanja ikoje lakini nafikiri itakuwa k**a Uwanja wa mchezo wetu uliopita.
Ukweli nina wasiwasi sana na viwanja pamoja na maamuzi ya waamuzi uwanjani nina imani kutakuwa na mabadiliko kwenye hili kwasababu kila kitu kinaonekana wazi"
Maandalizi kwa upande wetu siyo mazuri sana kutokana na ratiba lakini sisi ni wataalamu na ligi kuna muda inakuwa na ratiba ngumu lazima kuwa tayari. Leo tutakuwa na mazoezi jioni, ambayo yatatusaidia kuona hali ya wachezaji kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya Geita Gold"
02/10/2023
โKutoka mwaka 1998 hadi sasa [2023] ni miaka 25, ni umri wa kijana ambaye tayari anaweza kuwa kwenye ndoa. Ni miaka mingi sana, wakati Yanga inacheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya mwisho mimi nilikuwa bado nipo shule.โ
โMapenzi ya Yanga yalikuwa ndani ya familia yetu, nakumbuka siku hiyo mzee na familia yote tulishangilia sana Yanga kufuzu hatua ya makundi. Kwa hiyo Yanga kufuzu hatua ya makundi baada ya miaka 25 ni zawadi kwa familia yangu kwa sababu hata wao walitamani kuiona tunairudisha Yanga hatua hizi.โ
โNa mimi nimefurahi sana kuona jambo hili limetimia, tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hatua hizi tunakuwa wenyeji kwa kushiriki kila msimu.โ
- Arafat Haji [], Makamu wa Rais Yanga.