Soka tanzania

Soka tanzania

Share

Habalika michezo na soka tanzania

29/04/2020

Soon i'm loading.........
Wakati bado tukijiandaa kurejea ngoja ni kuache na mjadala huu.
hakuna asiyejua hali halisi ya janga la corona iliyowapata wenzetu wa italy je, ni fair kusubiri mda kuendeleza ligi yao? Ukizingatia mataifa matatu hadi sasa yamefuta mashindano yote ya msimu.
1.BELGIUM
2.NERTHERLAND
3.FRANCE.
Jibu kimwanasport..............

Photos from Soka tanzania's post 16/05/2019

Bye bye Makambovic
Rasimi ametambulishwa leo na club ya horoya fc ya nchini guinea kwa kandarasi ya miaka mitatu.

Photos 14/05/2019

Yanga b, yanga u-20 imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya jkt tanzania ligi kuu ya vijana maarufu k**a (uhai cup).

Photos 14/05/2019

Kamsoko amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya zimbabwe yenye jumla ya nyota 34.

Photos 14/05/2019

Today,s squad of yangasc v ruvu shooting
Kick off 1600hrs
Uhuru stadium!
1. Nkinzi kindoki
2. Juma abdul
3. Haji mwinyi
4. Abdallah shaib
5. Kelvin yondan
6. Feisal salum
7. Paul godfrey
8. Raphael daud
9. Heritier makambo
10. Papy tshishimbi
11. Deus kaseke
SUBS
-Kabwili
-Jafary
-Makapu
-Haruna
-Thaban
-Ibrahim
-Amiss
Ligi kuu tanzania bara!

Photos 30/03/2019

Robo fainal ya mwisho imemalizika hapa kirumba na yanga wamefuzu kwenda hatua ya nusu fainal kwa changamoto ya mikwaju ya penaiti baada ya dakika 90 kutoshana nguvu ya bao 1 kwa 1, kelvin yondan na Mrisho ngassa walikosa penaiti zao huku paul godfrey, haruna moshi, thaban kamsoko na deus kaseke wakifunga penaiti zao. Pongezi ziende kwa aliyepangua penaiti mbili na kuisaidia timu yake kwenda hatua ya nusu fainal na watakutana na wanapaluhengo lipuli fc.
Yanga imeungana na azam, kmc na lipuli waliofudhu kwenda hatua hiyo.

Photos 30/03/2019

FA CUP ROBO FAINAL
FT Alliance 1-1 Young africa.
James joseph
Heritier makambo
Mikwaju ya penailty itaamua nani aende nusu fainal.

Photos 30/03/2019

FA CUP ROBO FAINAL
Kutoka kirumba Makambovic anaipeleka mapumziko yanga ikiwa mbele kwa bao moja alilofunga dakk ya 38'.

29/03/2019

HUDSON CALLUM-ODOI




Chelsea wanajaribu kumshawishi kinda wao raia wa england hudson odoi kwa kumuwekea kitita cha pauni mil 100,000 kwa wiki ili asaini kandarasi mpya.

29/03/2019





Nyota wa kimataifa wa tanzania saimon msuva jana aliisaidia timu yake kuepuka kipigo kutoka kwa casablanca baada ya kutanguliwa kufungwa na wageni wao na baadae kipindi cha pili mtanzania huyo kusawazisha.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Mwanza