Kapesah Sports Update

Kapesah Sports Update

Share

let's share our ideas together

04/08/2026

David Kameta Duchu amekuwa wa moto sana tangu aongeze mkataba Simba sc😍😍😍😍😍😍

Photos from Kapesah Sports Update's post 02/08/2026

Simba sc na Yanga sc mmeshindwa kabisa kujenga uwanja hata wamashabiki elfu kumi kweli yaani ninyi mmeanzishwa mwaka 1935 na mwingine mwaka 1936 bado hamjapata pesa hata ya tofali leo hii Bukombe wamepata uwanja wao ambao msimu huu utatumiwa na Geita Gold tena utatumika hadi mechi za usiku ; hii aibu mnaitaka wenyewe . Hongera Bukombe hongera Geita.
rts

01/08/2026

Jezi inavuja hata muda wa utambulisho bado hii nayo kipengeleπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Photos from Kapesah Sports Update's post 31/07/2026

Teka la mabao limeanza kazi leo limetupia goli zidi ya Singinda big star muite Doumbia OsimenπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜

30/07/2026

Mayele aaga rasmi kunako klabu ya Pyramid sasa kituo kinachofuata ni wapi mimi nawewe tunajua anapokwenda .😍😍😍😍😍😍😍

30/07/2026

Limayele halafu Li Fei toto
Hii simba sc sijui itakuaje tu.🀣

30/07/2026

Tayari Simba sc imeondolewa kwenye mashindano ya Kagame cup kutokana na point zake kuzidiwa na Rayon sports na Al hilal hivyo ni rasmi simba sc ameishia hatua ya makundi . Pre season inaendelea au maana wamebakiza mechi moja na Singida big star.

29/07/2026

Neno moja kwa JAYRUTTY
😍😍😍

29/07/2026

Hapa yanga ni wawili tu wenye akili mnembe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

29/07/2026

Nimepenyezewa za ndaani kabisa nikuwa boss kakasirika hataki aibu ndogo ndogo , kasema wana simba sc msimu ujao mtaenda kujisaidia tena mara tatu msimu huu .🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Mwanza