07/11/2021
Karibuni tujenge na tulinde afya zetu
sports
07/11/2021
Karibuni tujenge na tulinde afya zetu
22/01/2020
22/01/2020
Ushirika jogging club maandalizi ya kili marathon 2020 jiunge nasi afya yako ndio mtaji wako hakuna kiingilio.Rais wa ushirika jogging club anawakaribisha wadau wote kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya zao na kupunguza maradhi yanayotokana na kuwa na mwili teketeke jali afya kwa ubora wa mwili wako.
22/01/2020
Ushirika jogging picha baada ya mazoezi ya asubui leo.
21/01/2020
USHIRIKA JOGGING CLUB MAZOEZI NI JUMATATU MPK IJUMAA SAA KUMI NA MBILI MPK SAA MOJA ROBO ASUBUI.KARIBU UJIUNGE NASI HAKUNA KIINGILIO.