Angalizo kwa wanaotegemea kushiriki Kilimanjaro Marathon Mwaka huu, na wanatokea maeneo ya baridi, wiki hii jitahidi kufanya mazoezi mchana ili kuzoea joto. Hali ya hewa Kilimanjaro sio rafiki sana.
Kilimanjaro Talents Sports Academy
A Kilimanjaro - Tanzania based Sports Academy, dealing with searching and improving sports talents, help sports development.
15/10/2023
Ni Msimu mwingine wa Zanzibar International Marathon!
29/10/2023.
Tukutane Zanzibar!
Wengi mmeshiriki Marathon nyingi ila hamjakimbia Zanzibar. Hapa utakimbia na kutalii kwa wakati mmoja.
Unaweza kujiandikisha moja kwa moja kwa kufuata maelekezo kwenye picha kwa gharama ya Tsh 35,000/=, au ukajiandikisha kupitia "Kili Talents" kwa Tsh 29,000/= tu kwa mtu mmoja au Tsh 27,000/= kwa mtu mmoja k**a mkiwa kikundi cha watu 20 au zaidi!
Punguzo hili hautalipata kwingine. Kwa walio Kanda ya Kaskazini, taratibu za usafiri wa pamoja zitaandaliwa, na kwa wote watakaojiandikisha kupitia Kilimanjaro Talents, watapata punguzo kwenye boti ya kwenda Zanzibar.
Kuna nafasi 100!
Kwa Mawasiliano piga/WhatsApp 0625329906.
Kwa Kilimanjaro fika ofisi za Kilimanjaro Talents, jirani na ofisi za TRA.
07/02/2023
Kilimanjaro Half Marathon Trial.
24/01/2023
Dickson Wisdom Francis.
Middle & Long Distance Runner.
05/01/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
8494 Kilimanjaro
Moshi