JKT Tanzania football club

JKT Tanzania football club

Share

official page of @jkt_tanzania_fc
Mabingwa wa championship 2021-2023

#doubleK
#WajengaNchi

Photos from JKT Tanzania football club's post 07/06/2026

Tumecheza mechi ya kirafiki na Fountain Gate Football club leo ikiwa ni maandalizi ya michezo ijayo ya ligi kuu.

Imeisha nyau-nyau…🔋⚽️🔥

Photos from JKT Tanzania football club's post 05/06/2026

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi siku ya leo 💪

Hizi mechi zilizobaki tunahitaji alama zote 15


Photos from JKT Tanzania football club's post 04/06/2026

Kikosi chetu kilichoweka kambi mkoani Arusha ya wiki 2️⃣ kinaendelea na mazoezi kujiandaa na michezo mitano ya kumalizia ligi kuu ya NBC PREMIER LEAGUE


27/05/2026

Hakuna tena kelele🤫


25/05/2026

Tukiwa tunaendelea kufurahia ubora wa JKT Tanzania FC hatuwezi kuacha kufurahia siku muhimu za watu waliopo sehemu ya project hii bora kabisa.

Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Admin wetu Mr. TITO LYANGA tunakutakia furaha na baraka tele kwenye kumbukizi hii muhimu ya kuzaliwa kwako.


24/05/2026

⌛:FT
MAKOSA YA KIBINADAMU YAMETUNYIMA POINTI 3️⃣
Mchezo umemalizika uwanja wa Jamhuri, Morogoro 🏟️ tukilazimishwa sare na Mtibwa Sugar
Wachezaji wetu wamepambana na wataendelea kupambana mpaka mwisho 💪

24/05/2026

⏳:HT
Kipindi cha kwanza kimemalizika uwanja wa Jamhuri, Morogoro 🏟️ timu bora ikiwa mbele kwa mabao 2️⃣ kwa 1️⃣ dhidi ya Mtibwa Sugar

Tukutane kipindi cha pili tuongeze dozi 💪


24/05/2026

⏳:dak 01'
Mchezo umeanza hapa uwanja wa Jamhuri Morogoro 🏟️
Mungu ibariki JKT Tanzania football club

Photos from JKT Tanzania football club's post 24/05/2026

Mazoezi Mepesi


Photos from JKT Tanzania football club's post 24/05/2026

Kikosi chetu kimeshawasili uwanja wa Jamhuri, Morogoro🏟️


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Jamuhuri
Morogoro