Afya -Elite Nutritional and performance
ukurasa huu Ni kwaajili ya kupata Elimu juu ya Magonjwa tofauti tofauti yakiwemo yale ya kuambukiza
Tumia MfR product kwa ajili ya nywele zako natural na zenye daaa ujipatie matokeo halisi
# Wanawake
07/08/2026
Wenye uhitaji wa shea butter sasa zipo tunapatikana Dodoma
Karibu ujipatie product za Castor oil (Mnyonyo halisi) 0684066330
05/08/2026
Haya Kwa Dodoma time wale tea Product za castor oil Martha Afya Ndio K**a mnavyoona mnaozipenda nywele zenu kazi kwenu product safi kabisa inakuwa nywele ,inajaza nywele na kulainisha k**a una kipilipili nywele zinakuwa K**a wakishua njoo Ujipatie kwa mawasiliano 0684066330 /0762692163 tunapatikana Dodoma barabara ya Shoppers nyuma ya Africab or chef pride Npo hapa Vizano Dodoma hotel kwa huduma bora na yenye manufaa zaidi kwa wa Tz karibu 🇹🇿
15/07/2026
https://www.facebook.com/share/p/15xDwCi9Xyh/
Afya with Veneranda,Ijue Misingi Ya Afya Yako
Elimu Ya Afya ,Wizara ya Afya Tanzania
*📢 KUELEKEA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI 2026*
*Je, wewe ni mjamzito, mama anayenyonyesha au ni mzazi/mlezi wa mtoto chini ya miaka 2?*
Unapata changamoto za unyonyeshaji na jinsi ya kumlisha mtoto wako au unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu lishe?
na haujui wapi utapata majibu ya maswali yako?
Jiunge sasa katika Kundi la WhatsApp la *CHAKULA NA LISHE TANZANIA* ambapo utapata fursa ya:
▪️Kuuliza maswali kuhusu lishe ya mama na mtoto.
▪️Kupata majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa lishe kutoka *Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania TFNC*
▪️Kujifunza mbinu bora za lishe kwa afya ya mama na mtoto.
Jiunge sasa kwa kubofya kiungo (linki) ifuatayo: https://chat.whatsapp.com/CVTMVyyJCX32aSpAF7oEgb
02/07/2026
Habari Tafadhali naomba mfollow TV channel yangu hiii,
https://www.facebook.com/share/14k7D1GfKuc/
hivi karibuni nitaanza kurusha matangazo ya Tiba lishe kupitia channel hiyo. Asanteni sana.
PN Mediatz
PRENOVA TV is an online media platform based in Tanzania that shares news, entertainment, lifestyle updates, and trending stories. Follow us on :https://www.instagram.com/pntvtz?igsh=MTFtZnpveXl5ZDgzbg==
https://youtube.com/?si=cgzwT9V1Fn1_anUO
19/03/2026
In my Send off day in 6/2/2026
19/03/2026
19/03/2026
In my kitchen day 2/2/2026 at Moro Town
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
P. O. Box 237
Morogoro
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 22:00 |
| Tuesday | 08:00 - 22:00 |
| Wednesday | 08:00 - 22:00 |
| Thursday | 08:00 - 22:00 |
| Friday | 08:00 - 22:00 |
| Saturday | 08:00 - 22:00 |
| Sunday | 08:00 - 22:00 |