Wananchi kileleni k**a kawaida
Kassim Mgwami KD
wasiliana nami KD kupitia WhatsApp 0755733099 au [email protected]
Wananchi washindi tena wa ngao ya jamii, makolo mtasubiri sana, hapo wananchi hawakupata mechi za ushindani za kutosha kabla ya leo,mngefungwa kono la nyani bahati yenu [email protected] daima mbele nyuma mwiko.
"Pesa iko benki" ni mkakati wa kizamani sana, sasa hv kinachoangaliwa ni mtiririko wa pesa kwenye mzunguko, makolo kuweni makini na kauli hiyo ya kisanii.
Makolo chali kwa Polisi wa Kenya, sasa mziki wa wananchi tarehe 12/08/2026 mtauweza malalamiko@nnya FC?.
Wenye nchi ni wananchi kwa mujibu wa ibara ya 8(3) ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.Kama hutaki nenda kalale mochwari.
Mangungu vs Magori nani zaidi?.
Makolo mnashindwa kufuata katiba yenu inavyotaka kwa sasa, ndio maana mlidondosha "kitope@nnya" Jangwani.Tatizo la afya ya akili.Mnatengeneza mazingira ya mgogoro wa mchongo ili mkipasuliwa na wananchi tarehe 12/08/2026 mpate kisingizio k**a kawaida yenu, malalamiko FC .Yanga daima mbele nyuma mwiko.
Yanga,daima mbele nyuma mwiko.
Nnya FC hatimaye imeng'olewa Kagame Cup 2026.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kidatu, Kilombero
Morogoro