Mkiriayo Sports

Mkiriayo Sports

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mkiriayo Sports, Sport & recreation, Kihonda, Morogoro.

Huu ni Ukurasa wa habari mbali mbali za michezo na Burudani....Karibu sana usome taarifa za michezo aina zote
Pia karibu kutangaza nasi Biashara yako Whatsup +255692763416
Napokea Matangazo ya Biashara

11/07/2026

KOCHA MPYA ATUA Young Africans Sports Club

Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns , Manqoba Mngqithi , kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo.

Mngqithi ametua Jangwani kwa mkataba wa miaka miwili , akichukua nafasi iliyoachwa na Pedro Gonçalves , ambaye aliondolewa kwenye nafasi hiyo mapema mwezi Mei 2026.

Kocha huyo raia wa Afrika Kusini anajiunga na Yanga akiwa na uzoefu mkubwa wa kufundisha soka la kiwango cha juu barani Afrika, baada ya kuwa sehemu muhimu ya benchi la ufundi la Mamelodi Sundowns, klabu iliyotawala soka la Afrika Kusini na kufanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

27/06/2026

RATIBA YA LEO KOMBE LA DUNIA 2026

Photos from Mkiriayo Sports's post 27/06/2026

MBIO ZA UBINGWA LIGI KUU BARA BADO MBICHIIIII YANGA WAKIWEKA SIMBA NAO WANAWEKAAAA

27/06/2026
Photos from Mkiriayo Sports's post 26/06/2026

FIFA WORLD CUP 2026

26/06/2026

RATIBA LEO
FIFA World Cup 2026

26/06/2026

MATOKEO jana FIFA World Cup 2026

Photos from Mkiriayo Sports's post 26/06/2026

SOUTH AFRICA 🇿🇦

26/06/2026

NETHERLANDS 🇳🇱

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kihonda
Morogoro