Neo Manema

Neo Manema

Share

Bongotrending Nimezalia Dar es salam

23/03/2026

MSIUMIE SANA MASHABIKI WA YANGA SC πŸ”°πŸ”°πŸ”°

Najua matokeo ya mtani yanaumiza, lakini usiumie sana mwananchi Yanga SC πŸ™Œ

Jana Mwanengo na Pacome Zouzoua walipata nafasi ya kuvuna alama 3 muhimu lakini matumizi hayakuwa sahihi kabisa πŸ™Œ

Mtani kapata nafasi na kaitumia vizuri sana uwanjani, kakusanya alama 3 muhimu kuendelea kupunguza gape kati yake na Yanga SC πŸ™Œ

Any way, still Yanga SC anaongoza ligi kuu ya NBC, hata k**a mtani atashinda vipolo vyake vyote still hafikii points za Yanga SC πŸ™Œ

Bado Yanga SC anayo nafasi ya kutetea ubingwa wake msimu huu πŸ™Œ

No retreat, No surrender
Mapambano bado yanaendea πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

23/03/2026

Simba BingwaπŸ†2025/26

02/03/2026

Lilikuwa gori ila simba wamezulumiwa

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mkuranga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Mbezi
Mkuranga