ALI KAMWE NA AHMED ALI KABLA YA DABI KUANZA WALIONGEA CHEMBA: WASEMAJI WA TIMU ZA KARIAKOO NO BIFU
Bena Zam
🏟 FABS TV
📌 Independent Content Creator
⚽ Football analysis
🤗 "The system is chaotic"
💼 DM for Business Promos
HUYU HAPA SHABIKI WA MTONI(KALOTI) ALIYELETA VURUGU LIGI YA UYOLE KATI: MECHI YA HAIRISHWA VS MASANDAWANA SPORTS CLUB
🤣🤣🤣 WAKUU MMEIONA NGAO WALIYOBEBA YANGA DHIDI YA SIMBA: ila Ngao Lazima niwe Mchezaji Mwaka huu
🤣🤣 SHABIKI WA SIMBA AOMBA BOMU ILI AKALIPUKE NA MANGUNGU: BAADA YA SIMBA KUPOTEZA VS YANGA
13/08/2026
Hapa hamna mchezaji aiseee
Kakosa yeye na goli😂
SELEMANI MWALIMU ASHINDWA KUJIZUIA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA: MAUMIVU MAZITO MOYONI YATANDA
MOHAMED HUSEIN AENDA BENCHI LA SIMBA KUWAPA POLE BAADA YA YANGA KUBEBA KOMBE NGAO YA JAMII 2026/27
NGAO YA JAMII: SELEMANI MWALIMU ALIA NA WACHEZAJI WA SIMBA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA, SO SAD
Yanga bingwa tenaaaaaaaaa
12/08/2026
IKIFIKA USIKU, WACHEZAJI WOTE WAAMKE KISIRISIRI WAPANDE BOTI , WAMUACHE OSMEN IBRAHIM DUMBIA ZANZIBAR
12/08/2026
K**a Dunia imetawaliwa na maji kwa 75% basi 25% zilizobaki zinatawaliwa na Kouassi Yao🔥
What a player,what a Performance kutoka kwa fullback ya kisasa🖐️
Kila kitu kwake kulikuwa rahisi,muda wote alipanda na kushuka (Up and Down) ili kuyaathiri mabox yote mawili.
Alizuia kwa umakini na uangalifu huku akipandisha mashambulizi k**a chui.
technically Yuko poa sana,anaweza kucheza kwenye maeneo finyu na kulinda mali…..ni ngumu sana kumpoka mpira🙌
Halafu Sijui Yao anakula nini🤔
Jamaa hachoki kabisa……what a player🙌
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya