Ituha Veterani Fc

Ituha Veterani Fc

Share

👉🏼EST: August 2023: 👉🏼Official Facebook account of Ituha Veterani Fc: 👉🏼Ituha, Ilomba-Mbeya.

Photos from Ituha Veterani Fc 's post 25/06/2026

Kikosi chetu kinatarajia kuondoka Jumamosi Juni 27,2026 alfajiri kuelekea wilayani Rungwe kwa ajili ya kushiriki sherehe za ubingwa wa Rungwe Veterans. Kikosi chetu kitaondoka na wachezaji 28 na viongozi 6 huku tukiwa tumejipanga kuhakikisha tunuleta ushindani mkubwa kwenye michezo maalum ambayo tutacheza siku hiyo katika Uwanja wa Tulia (Tandale) wilayani Rungwe mkoani Mbeya.

Idara ya habari
June 25/2026

02/06/2026

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Msemaji na Mchezaji wa timu yetu ya Ndg. .shabani.73! Sote tumtakie neno la kheri Alcântara wetu wa kucharge!😀😀😀

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Mbeya
255