27/01/2026
TETESI...................
Baada ya simba sc kumtambulisha winga anicet oura usiku wa jana basi klabu io inahitaji kuongeza mchezaji mwingine 1 wa kigeni ambae atakwenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ambae atakua akicheza namba moja na mwamba wa Lusaka triple c clatous chota Chama.......
Na tetesi zinasema kiungo namba 10 INNO JOSPIN LOEMBA ndio mchezaji mwenye nafasi kubwa katika miamba io ya soka Tanzania Bara na status zake ni izii hapa๐๐๐๐
REMEMBER NAME........
THE NAME INNO JOSPIN LOEMBA..........๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Amezaliwa tarehe 4/8/2004
umri wake ni miaka 22
Ni raia wa Congo Brazzaville
Nafasi yake ni namba 10 ni kiungo mshambuliaji
Agent:sport striker
Note:Lilikuwa ni pendekezo la kocha Dimitar pantev kabla ya kuachana na miamba io ya soka.
13/10/2022