14/06/2024
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ezekiel Fanuel, Habil Ndonde, George Peter, Akida M Khalfan, John Dee, Ahazi Andason, Maulid Jarden, Dinno Masunga, Ambross Mohamed, Fadhili Øffîçial Tz, Suleiman Khatib, Wilson Stanley, Ibrahim Hassan, Zabron Mahenge, Ñiçk Çlévér, Ligwa Mkina, Godfrey Incent, Kanuda Sitta, James Mwalongo
05/03/2024
Mmeshamaliza kufananisha mzee wa breach na chama? Mimi nawajibu hivi; kuna mchezaji kuonekana bora musimu huu tu ila huyo mwingine anaibeba timu mgongoni mwake huu ni msimu wa sita 🥹🥹
05/03/2024
Kazi ya nusu chuma nusu mlingoti. Huyo ndo Onyango mzee baba wa kutoka kwa wapenda kiingereza Kenya 😕😕😕😕
20/01/2024
Hivi kocha wa taifa stars aliwaza nini kuongea utumbo ule?
In english tomorrow we are going to be with Gadiola fat 😔😔👏👏
20/01/2024
Hapo nawaza Mgunda na Morocco wataweza kweli kutuvusha? Ngoja tusubiri.😔😔😔😔
19/01/2024
Msumbiji leo mmeyatimba, poleni sana akina tiko tiko 😔😔😔😔
07/01/2024
Wenzako walitoa nae sare wewe umekuja na mdomo mrefu mara ooh nataka niwaoneshe namna ya kumfunga APR Kiko wapi sasa eeh nauliza Kiko wapi??😠😠
16/11/2023
Kila mtu na bango lake. Hili bango tutaliweka flyover ya ubungo jumamosi hii. Kila mtu na kibonde wake bwana 🙂🙂🙂🙂
29/10/2023
Ihefu yaishauri Palestina
28/10/2023
Hiki hapa kikosi chetu cha kumfumulia mtu pale pale kwenye mshono. Chibonge wao leo haanzi😃😃😃😃