The Bluez

The Bluez

Share

HABARI ZOTE ZA CHELSEA KWA LUGHA YA KISWAHILI. [@Chelsea_Swahili]

|Follow Us|✓

10/08/2026

🚨 RASMI: watakutana na Luton Town katika raundi ya pili ya Carabao Cup! 🏆🔵

📍 Stamford Bridge

10/08/2026

🚨🚨GUESS WHAT

ENZO na Valentín Barco wametimba DARAJANI

wamemaliza ziara yao.... wachezaji wote wanahitajika kufika hii wiki ikiwemo captain Reece James.

unalipi lakusema kuhusu huyu ENZO FERNANDEZ?

09/08/2026

🚨🚨🚨OFFICIAL

CHALOBER amekamilisha uhamisho wake kwenda COMO .

CHALOBER amesajiliwa jumla ....

kwaheri son GOD, tunakutakia MEMA

09/08/2026

wanakomboa dakika

09/08/2026

go go go go goooooaaaall

Chelsea inapata bao la tatu..dakika 87

09/08/2026

estevao kwake jackson, jackson anaeka kwa delap..delap na kipa..anapiga shot...kipa anatowa

dakika ya 6

09/08/2026

Jackson anaangalia uwazi uko wapi...anamuekea DELAP ..DELAP yeye pekee...hii inakuwa bao ya pili ndugu wasomaji..delap anapiga..🤣

09/08/2026

huyu GITTEN mwishowe atapigwa ngumu... Sio kwa aibu anayoleta ...anaangusha mtu na bado anamrudia na kumchenga tena 🤣🤣🤣

09/08/2026

delap anapiga mwenyewe penalty..... go go go goooooaaaall

costa delap anampeleka sikonyo kipa.
inakuwa 1-1 dakika 42

09/08/2026

delap ana win penalty

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kilimanjaro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Moshi
Kilimanjaro