14/08/2026
Ujazo Sports Tumedhaminiwa na Unga Wa DONA uliochanganywa Mihogo na Mahindi lishe ya njano
Lishe bora, ladha ya asili na ubora unaoaminika kwa familia nzima. AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.
Inasambazwa na BrainUjazo kwa kushirikiana na kampuni ya Mshachu General Supplies Co.LTD
Tanzania
14/08/2026
Mapema Itakua Sokoni, Tunakuletea AfyaCast Lishe+ Unga wa Lishe wenye ubora wa hali ya juu kwa afya bora ya familia yako na watoto kwa Bei: TSH 7,000 tu kwa 1KG. Chagua lishe bora leo kwa maisha yenye nguvu na afya njema. AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.Itakua Ikisambazwa na
Kutangazwa na BrainUjazo Digital kwa kushirikiana na Mshachu General Supplies Co.LTD Hashtags:
03/08/2026
Unga Wa DONA uliochanganywa Mihogo na Mahindi lishe ya njano
Lishe bora, ladha ya asili na ubora unaoaminika kwa familia nzima.
AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.
Inasambazwa na BrainUjazo kwa kushirikiana na kampuni ya Mshachu General Supplies Co.LTD
Bidhaa yetu ya asili tumekuletea mapema mwezi huu wa nane itakua Sokoni kwa Gharama ya Tsh Elfu Nne tu kwa Kilo inavirutubisho vya kutosha Jamni huu ndio muda wa kula Dona Sasa ilibora wewe mteja wetu ni wa thamani sana. Dona la Kusaza
Official logo
03/08/2026
Mapema Itakua Sokoni, Tunakuletea AfyaCast Lishe+ Unga wa Lishe wenye ubora wa hali ya juu kwa afya bora ya familia yako na watoto kwa Bei: TSH 7,000 tu kwa 1KG. Chagua lishe bora leo kwa maisha yenye nguvu na afya njema.
AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.Itakua Ikisambazwa na Kutangazwa na BrainUjazo Digital kwa kushirikiana na Mshachu General Supplies Co.LTD Hashtags:
Hii Ni package yetu itakavyokua na Huyo Brand Ambassador wetu ni Mwenetu Askari wetu Geniuz Son tumeingia nae Mkataba Wa Kudumu sasa ni kwamba Watoto, Watu wazima Hii lishe ni yenu sasa kaeni tayari oda zimiminikeeee mashule,maofisi Brand yetu hii apa unaweza patiwa Lishe ukalipa kwa Invoice pia AfyaCast Lishe plus.
OFFICIAL LOGO
11/06/2026
🩸 Damu yako inaweza kuwa tumaini la maisha kwa mtu mwingine. Jiunge nasi kwenye TABASAMU BLOOD DONATION 2026.
❤️ Changia Damu | Okoa Maisha | Sambaza Tabasamu
05/06/2026
🩸 Damu yako inaweza kuwa tumaini la maisha kwa mtu mwingine. Jiunge nasi kwenye TABASAMU BLOOD DONATION 2026.
❤️ Changia Damu | Okoa Maisha | Sambaza Tabasamu
sponsored by Ezzygraphics
BrainUjazo