24/07/2026
βBwana DOUMBIA wewe funga tuβ¦! Suala la watapuu wapi hilo waachie wao!β π
Kwa hili Shambuliaji jipya la Mnyama unaona βwakinyaβ tena msimu ujao!?πππ
MR PERFUME
fans
PAGE YA MASHABIKI WA SIMBA SPORTS CLUB UBAYA UBWELA SIMBA NGUVU MOJA π¦
KWA MATANGAZO ZAIDI NITAFUTE INBOX π₯
24/07/2026
βBwana DOUMBIA wewe funga tuβ¦! Suala la watapuu wapi hilo waachie wao!β π
Kwa hili Shambuliaji jipya la Mnyama unaona βwakinyaβ tena msimu ujao!?πππ
MR PERFUME
fans
NI YEYE πππ
SAA 7 MCHANA LEO MASHINE YA KWANZA ITATAMBULISHWA
18/07/2026
welcome π
ubaya ubwela
fans
11/07/2026
SHALULILE mbona amewashangaza wanasimba wengi hili dili doneβkutoka mamelodi sundowinsβ%100
fans
11/07/2026
π¨ππππ ππππ:Simba SC have completed the signing of centre-back Serge Badjo ahead of the 2026/27 seasonβοΈ
The Ivorian defender completed the final formalities after signing all documents today, following the completion of the agreement on July 9
All documents are signed, the deal is done β Serge Badjo is a Simba SC player. β
huu
fans
11/07/2026
Kwani kunann uko mbona sielewi jamani π¦π¦
fans
11/07/2026
Hapo vipi kwa mfano
fans
ILA MORSON AJAACHA TU VITUKOπππ
aibu utaiona wewe π€£
fans
11/07/2026
Nyota wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns, Jayden Adams amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 25, ikiwa ni muda mfupi tu baada ya kuiwakilisha Bafana Bafana kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.
Adams alicheza mechi zote za Afrika Kusini kwenye michuano hiyo isipokuwa mchezo wa hatua ya 32 bora kwenye kipigo cha 1-0 dhidi ya Canada huku vyanzo mbalimbali vikieleza kuwa alijiua nyumbani kwake huko Stellenbosch hatua inakuja baada kuomboleza kifo cha bibi yake mwenye umri wa miaka 72, Marianna Adams wakati akiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa huko Marekani.
Adams, pamoja na wachezaji wengine saba wa Mamelodi Sundowns walioiwakilisha Afrika Kusini kwenye Kombe la Dunia, walipewa likizo ya wiki mbili zaidi kabla ya kurejea kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na alitarajiwa kujiunga tena na kikosi cha klabu hiyo wiki ijayo kwa ajili ya kambi ya mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya huko Austria.
Kiungo huyo ambaye ni zao la akademi ya Stellenbosch alikuwa sehemu ya kikosi cha Bafana Bafana kilichoshinda medali ya shaba kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2024) huko Ivory Coast, kifo chake kimesababisha mshtuko mkubwa katika soka la Afrika Kusini.
fans
11/07/2026
BREAKING NEWS: π¨π¨Klabu ya Simba SC Imekamilisha Usajili wa Mshambuliaji, Victor Chukwuemeka Mbaoma raia wa Nigeria π³π¬π³π¬
Simba Imepindua Meza kwa Tusker FC ya Kenya ambayo ilikuwa tayari wamemalizana na Mshambuliaji Huyo
fans