23/02/2024
Kasulu United FC
UKURASA RASMI WA -KASULU UNITED FOOTBALL CLUB
23/02/2024
17/02/2024
Leo tuna Mchezo wa “First League “ dhidi ya MWADUI FC..Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa lake Tanganyika kigoma kuanzia majira ya saa 10:00 jioni Mashabiki na wadau wa karibuni sana 🙏🏽🙏🏽
06/02/2024
wachezaji wakiwa wamepumzika baada ya kuwasili uwanjani
04/02/2024
04/02/2024
Wachezaji wa Kasulu United FC wakipata Chakula baada ya Mzoezi.
01/01/2024
Siku ya Jumanne Januari 02 2024 tutakua na Mchezo wa First league dhidi ya Mapinduzi FC..Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Nyamagana Mwanza
18/12/2023
Siku ya Jumamosi Disemba 23 tutakua na mchezo wa “First League “ dhidi ya Rhino Rangers FC kutoka Mkoani Tabora...Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Alli Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Umoja Street
Kasulu
47330