Cliff

Cliff

Share

*Sports Analyst ๐Ÿ“Œ
*Sports content creator ๐Ÿ”ฅ,
*Jersey trader ๐Ÿ‘•๐ŸŽฝ,

Kwa mawasiliano zaidi: +255622211477 au +255762868803. location: Dar es Salaam, Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

12/07/2026

OFFICIAL ๐Ÿ”ด: Klabu ya Galatasaray Istanbul ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท imefikia makubaliano rasmi ya kumsajili kiungo wa Burnley FC raia wa Ufaransa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต Lesley Ugochukwu katika dirisha hili.

Ugochukwu atajiunga rasmi na Galatasaray Istanbul baada ya makubaliano rasmi kufikiwa kikamilifu.

FOLLOW US.

12/07/2026

Nimeona hii picha inatumika vibaya watu mnatunga maneno yenu Kisha mnaambatanisha na picha hii,huo ni ujinga.

Kilichokuwa kinazungumzwa hapa ni kuhusu tukio la mchezaji wa Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท kutotolewa maamuzi sahihi na mwamuzi, nahodha Lionel Messi ilibidi amfate mwamuzi kumueleza malalamiko yake,kanuni za muenendo wa Mchezo zinamruhusu Nahodha mkuu kwenda kupeleka malalamiko yake Kwa mwamuzi mkuu ikiwa hatopendezwa na maamuzi ya tukio husika.

Sasa mnavoweka maneno yenu sio sawa.

FOLLOW US.

12/07/2026

Kwa mara ya kwanza kabisa, Lionel Messi atakabiliana na England katika mechi ya kimataifa ya wakubwa huku Argentina ikipambana na Three Lions kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.

Nafasi ya fainali iko hatarini kwani moja ya mashindano makubwa zaidi ya soka hupata sura mpya ya kihistoria. ๐ŸŒ la Dunia2026.

FOLLOW US.

12/07/2026

Naaaaam

Mimi ndio admini nisieleweka nipo upande wa Anko Nzala (Messi) Wala Al Habib Ndete Bin Ronaldo yaani nagonga tu nondo tu Kwa wote ๐Ÿ˜‚.

Sio team Messi Wala Ronaldo kwahiyo msinihusishe na MAGOTI wenu Mimi ni shabiki wa Uholanzi ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ pekee.

ENEWEI suti yangu imetoka Uturuki imepanda ndege hii.

12/07/2026

Kabla ya mechi kuanza, wachezaji wa Uingereza na Norway pamoja na benchi waamuzi walitengeneza duara maalumu la kumuenzi Marehemu Jayden Adams aliyefariki dunia siku ya Jana.

Uwanja mzima ulimaa kimya Kwa dakika 1 kuenzi kifo Cha mchezaji huyo wa RSA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ambae wiki chache nyuma alicheza kwenye mashindano ya kombe la dunia pia....

FOLLOW US.

12/07/2026

REKODI โœ…: Kwa mara ya kwanza kombe la dunia linashuhudia nusu fainali ikizikutanisha timu 4 kutoka kwenye top 4 ya timu za juu zaidi kwenye rank za FIFA.

Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท,
France ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต,
Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ,
England ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

FOLLOW US.

12/07/2026

OFFICIAL CONFIRMED โœ…: Enzo Fernandez hatoondika Chelsea FC ataendelea kusalia klabu I happy na amefuta kabisa harakati zake za kujaribu kutaka kuondoka klabu hapo.

Katika hatua nyingine Chelsea FC umeamua kumuondoa kikosini Alejandro Gernacho,hayupo kwenye mipango ya timu msimu ujao,ni rasmi atauzwa katika dirisha hili kubwa hatokuwa sehemu ya Chelsea FC msimu ujao.

FOLLOW US.

12/07/2026

OFFICIAL CONFIRMED โœ…: Hatua ya nusu fainali itazikutanisha timu zifuatazo:

France ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต vs Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ
England ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ vs Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท

Mechi zitachezwa kuanzia July 14.

FOLLOW US.

Photos from Cliff's post 12/07/2026

Argentina ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท wameendelea walipoishia ni utake watakufunga usitake watakufunga,haoooooo mpaka nusu fainali sasa ni uso kwa uso na Uingereza ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

Julian ร€lvarez ameonesha kiwango Bora sana mpaka akatangazwa kuwa mchezaji Bora wa mechi.

FOLLOW US.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Upanga
Kahama