Mayenja Sports13

Mayenja Sports13

Share

KWA MATANGAZO 0677413491πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kusini Sports13 twitter

16/06/2026

Rashford arejea ndani ya Manchester united.

16/06/2026

Aibu utaona wewe 🀣🀣

14/06/2026

Wazee wa Roho mbaya 🀣🀣

12/06/2026

Mr ZooooomπŸ“ΈπŸ“Έ

Photos from Mayenja Sports13's post 12/06/2026

Hongera Simba queen Tanzania πŸ†πŸ†πŸ†

Photos from Mayenja Sports13's post 12/06/2026

Kocha Nasreddine Nabi (60) πŸ‡ΉπŸ‡³ amefikia makubaliano ya kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦ kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao wa 2026-27. πŸ’šπŸ”

Naby anachukua nafasi ya Fadlu Davis ambae amefukuzwa Jana

12/06/2026

Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA Imetoa siku 45 tu kwa Klabu ya Yanga iwe imewalipa Klabu ya Tp Mazembe pesa zao za mauzo ya mshambuliaji Jean Baleke.

FIFA imesema k**a hawatalipa ndani ya siku 45 basi Klabu ya Yanga watafungiwa kutosajili katika madirisha matatu mfululizo.

Photos from Mayenja Sports13's post 11/06/2026

Rihanna kajizaa Mwenyewe.πŸ™ŒπŸ™Œ

11/06/2026

Klabu ya Young Africans SC imefikia makubaliano ya kuachana na beki wao wa kulia Israel Mwenda πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kuvunja mkataba wake wa miaka mitatu!.

10/06/2026

Muda wowote kuanzia sasa kocha Fadlu Davis atafukuzwa kazi katika Klabu yake ya Raja Casablanca baada ya matokeo mabaya ya Klabu iyo.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Area D
Dodoma
13