19/04/2026
📍Morogoro
Umojafitness Morogoro wanasema maandalizi ya kuelekea One Strong Big Bonanza Season 3, 2026 yanaendelea vizuri.
Wapo tayari kuandika historia katika Hifadhi ya Msitu wa Mbizi, Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa.
Hii si ya kukosa! Karibuni sana wote kushuhudia burudani ya kipee kabisa.
BonanzaSeason3