Magazeti ya michezo leo Tuichambue Kandanda
Tuichambue Kandanda
Hi ni page ya michezo na burudani
01/09/2026
Klabu ya rayon sports ya nchini Rwanda imemtamburisha jezi zao za msimu pya wa 2026/2027 zikiwa na nembo ya jay rutty. Tanzania Football Federation RwandAir Fédération Rwandaise de Football Association
01/09/2026
Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara
31/08/2026
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania alphonce msanga amejiunga na kutamburishwa katika klabu ya ya Algeria
Mchezaji huyu amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. الهلال الأحمر الجزائري Algerian Red Crescent JS Kabylie
31/08/2026
Mchezaji aliye onesha kandanda safi (man of the match ) katika mechi kati ya kagera sugar dhidi ya azam fc ni Feisal toto kutoka azam fc.
Azam FC
31/08/2026
Msimamo wa ligi kuu ya Nbc Tanzania bara baada ya mechi uko hivi. Young Africans Sports Club Simba SC Tanzania AzamSports Azam FC CoastalUnionfc Geita Gold Football Club.
31/08/2026
Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara. Azam FC .
31/08/2026
Mchezaji wa klabu ya Simba SC Tanzania gueye amekuwa akishinda man of match, kila mechi, isipokuwa mechi moja tu.
Mwamba anazikusanya kweli kweli mwisho wa siku anaweza hata kushinda tuzo nyingine za jumla katika ligi kuu ya Tanzania bara.
Congratulations to him well done✅
31/08/2026
Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara Simba SC Tanzania Geita Gold Football Club
31/08/2026
Mashabiki wa Simba SC Tanzania Bado wanamwamini mchezaji wao doumbia. "together with doumbia" pamoja na doumbia.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam