Simba Fan TV

Simba Fan TV

Share

� Simba fanpage.
� Ukurasa Bora Wa Mashabiki Wa Simba. https://whatsapp.com/channel/0029Vb7yC1e9xVJlXJupgw0Q

06/07/2026

🚨 BREAKING: ​

Kwa mujibu wa , Simba SC imeanza Mazungumzo na Sekhukhune Utd kumnasa star winger Keletso Makgalwa (29).

🐸 Licha ya Yanga kuonyesha nia, Simba imepewa kipaumbele cha kushinda saini yake.

🦁 ​Huyu ni winga teleza wa zamani wa Mamelodi, raia wa Afrika Kusini. Ana Kasi na anajua Kufunga Magoali, ndiyo maana alipewa jina la utani 'Aguero'.

Je Wana Msimbazi! Unamwonaje Mchwzaji huyu ⁉️ Dondosha Maoni Yako Hapo Chini 🦁✍️

​ .

06/07/2026

😂😂

05/07/2026

Wenye Nchi 🦁🔥🔥

05/07/2026

Captain Shommy

05/07/2026

Unyama 🦁🔥🔥



Photos from Simba Fan TV's post 05/07/2026

Wenye Nchi 🦁🔥🔥



Photos from Simba Fan TV's post 05/07/2026

Unyama Ni Mwingi 🦁🔥🔥


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam