Akuzamu youth of love

Akuzamu youth of love

Share

This is the Kingdom of the Love of God, and our purpose is to unleash the love of God to the world.

The desire to establish a strong Youth Ministry is not a simple question of creating structures and processes for developing young people, it is a matter that addresses the basic nature of human life cycle involving dependence, independence, and interdependence. We all start at dependence levels where we actually depend on others for our survival, through the work of others in us we grow into inde

Photos from Akuzamu youth of love's post 02/07/2026

Mambo yanayochangia kukwamisha vijana wengi kutokufikia malengo yao ni kiburi, kukosa ujuzi, kushindwa kupangilia muda, kiu ya mafanikio ya haraka, maisha ya mitandaoni, kukosa uaminifu, kutokua tayari kujifunza na mengineyo mengi. Coach wetu lugaila alitupa madini mengi katika kuhakikisha tunakimbia na malengo yetu. Don't miss our next event!

Photos from Akuzamu youth of love's post 30/06/2026

And the run began! K**a vijana tunathamini mazoezi lakini sio mazoezi tu ya kawaida bali mazoezi yenye malengo ambayo ni kuimarisha miili yetu na kujenga afya zetu. We don't just run but we run with purpose.

25/06/2026

Vijana Mpoooo🔊🔊. Tumebakiza siku moja tu kuelekea siku ya tukio letu la akuzamu yout of love run itakayofanyika jumamosi hiiii ya tarehe 27. Vijana wote tunakutana pale akuzamu international church bahari beach kwanzia saa kumi na mbili asubui kuanza tukio letu mpaka saa nne asubuhi. Kumbuka hatukimbii tu bali tunakimbia na malengo

22/06/2026

Zab 150:6 SUV
[6] Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.

Mtu mzuri wa Mungu hii si ya kukosa kabisa jumapili hii tutakuwa na ibada moja tuu ya KUSIFU NA KUABUDU. Mahali pa kukutania Ni Akuzamu International Church bahari beach, Usije peke yako njoo na rafiki zako

Tutakuwa na mtumishi wa Mungu Lisu atatuhudumia pamoja na Akuzamu praise team na wengine wengi sana. 💃💃💃🔥🔥🔥

20/06/2026

Ni furaha yetu kukualika mtu mzuri wa Mungu siku ya kesho jumapili kwenye Ibada yetu nzuri kabisa ya kuwashereheke wakina baba wote duniani.

Tutakuwa na ibada moja tuu itakayo kuwa na vitu vizuri, usipange kukosa mtu wa Mungu. Usije peke yako mualike na rafiki yako.

18/06/2026

Je unazijua AHADI ambazo Mungu amekuandalia kwenye maisha yako? Karibu ungana nasi kwenye ibada ya ijumaa. Mtumishi wa Mungu baba yetu Rev. Dr. Edward Amri atakufundisha na kukuombea, Usije pekeyako.

18/06/2026

Karibu tuungane pamoja katika IBADA nzuri sana ya Ijumaa,K**a una changamoto yoyote Mungu ANAKWENDA kufanya JAMBO,sijui unateseka na Nini ila ninachojua Mungu ni WA wakati na majira ,na majira yako ni haya ,Mungu ANAKWENDA kukushangaza.

Photos from Akuzamu youth of love's post 14/06/2026

IBADA YA LEO HAKIKA TULIMUONA MUNGU KWA AINA YAKE,TULIPATA KUJUA AHADI KUU AMBAZO ALITUPATIA K**A WATOTO WAKE,AHADI HIZO IKIWEPO UKOMBOZI WA MWANADAMU KUPITIA UZAO WA MWANAMKE ,PALE ADAMU WA KWANZA ALIPO ANGUKA KATIKA BUSTANI YA EDEN.

13/06/2026

Welcome to our Sunday service,
Don't plan to miss beautiful children of God.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Bahari Beach Next To Budget Resort
Dar Es Salaam
255