18/08/2026
Tanzania Basketball Federation (TBF) inaziomba Academy zote za Basketball nchini kujisajili kupitia mfumo maalum wa usajili.
LENGO
Kujenga National Basketball Academy Database itakayosaidia:
Kutambua vipaji vya vijana
Kufuatilia maendeleo ya wachezaji
Kuimarisha maendeleo ya Academy na Makocha
Kurahisisha utambuzi na uteuzi wa Timu za Taifa za Vijana
USAJILI
17 AGOSTI – 30 OKTOBA 2026
MINI CAMP
KUANZIA NOVEMBA 2026
Academy zitakazosajiliwa zitakuwa sehemu ya mfumo wa Talent Identification & Youth Development Programme.
📲 JISAJILI HAPA
SCAN QR CODE
au
https://forms.gle/HswRW4Qp3ReGV3626
Tujenge mfumo wa pamoja wa kutambua, kufuatilia na kuendeleza vipaji vya Basketball Tanzania.
TANZANIA BASKETBALL FEDERATION (TBF)
09/08/2026
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) akiongozana Na vionhozi wengine wameipongeza Timu ya Taifa ya Kikapu ya Wavulana chini ya umri wa miaka 16 (U16) baada ya kutwaa ubingwa wa Zone 5 katika mashindano yaliyofanyika
Nairobi, Kenya.
Katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na TBF Jijini Dar es salaam, Rais wa TBF, Hasheem Thabeet pamoja na Katibu Mkuu wa Shirikisho, Mweze Kabinda wamepongeza juhudi na mafanikio ya Vijana hao, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kukuza vipaji na kujenga programu endelevu za Timu za Taifa.
TBF pia imeipongeza Timu ya Taifa ya Wasichana U16 kwa kumaliza
mashindano hayo katika nafasi ya pili.
05/08/2026
Think you know your stars?
Umepawa wangapi ?
04/08/2026
Fainal ilifana sana chai CHUI... 🐯
02/08/2026
2026 Taifa Cup first Runner goes to Team Dar es salaam
📍 Chinangali Park, Dodoma
📺 Azam Sports 3 HD
Ni zaidi ya mchezo. Ni maisha.
NiZaidiYaGameNiMaisha