Dar Jogging Club

Dar Jogging Club

Share

Dar jogging club established officially 20th June 2002.

The club Founders are Samia Hujjat, Ramadhan Namkoveka, Abdulkadri Omary, Abdul Mushi, Saidi Lingamba, Pili Salehe, Selemani Ndambwe, Ahmed Ismail Ruhumba and Pili Nyamkili.

Photos from Dar Jogging Club's post 16/08/2026

Dar Jogging Club

16/08/2026


Teja Temeke bonanza loading.........

16/08/2026

15/08/2026

#๐™š๐™ฃ๐™Ÿ๐™ค๐™ฎ๐™ฉ๐™๐™š๐™™๐™–๐™ฎ Juma Rabba

13/08/2026

Dar Jogging Club

Photos from Dar Jogging Club's post 12/08/2026

TUMEPOKEA NA TUNAUNGANA NA CHINI Teja Temeke TUNASEMA TUTAKUWEPO


@

Photos from Dar Jogging Club's post 08/08/2026

SHUKRANI ZA DHATI
Kwa niaba ya uongozi wa Dar Jogging na familia ya makamo mwenyekiti ndugu Muhharam Othmani tunatoa shukrani za dhati kwa ndugu, jamaa, na marafiki wote mliofika kutufariji katika msiba wa mama yetu mpendwa.
Tunatoa shukrani za dhati chama vingi vya michezo (Jogging) vilivyotukimbilia na kutuunga mkono kwa hali na mali. Ni vigumu kuvitaja vyote kwa majina, lakini tunatambua na kuthamini sana mchango wa kila klabu iliyoshiriki kutufariji. Pia tunatoa shukrani kwa vilabu ambavyo havikuhudhuria kwa sababu moja ama nyingine tunajua kuwa kuzika nako ni riziki.

Upendo wenu umekuwa faraja kubwa kwetu. Mwenyezi Mungu awabariki sana na kuwalipa kwa wema wenu huu.

Asanteni asanteni asanteni sana.

08/08/2026

TANZIA: TAARIFA YA MSIBA

INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN
(Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Yeye tutarejea)

Ndugu, jamaa na marafiki, tunasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi wa MAKAMO MWENYEKITI wetu , MUHARRAM OTHMAN, kilichotokea leo tarehe 8/8/2926

Taratibu za mazishi zinafanyika saa 7:00 mchana wa leo
Katika eneo la KISAYANI(Vikindu)

Tunawaomba muendelee kumuombea marehemu apumzike kwa amani na kuitakia familia ya Muhharam Othmani subira na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu

07/08/2026

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Chang'ombe Unubini
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 15:00 - 18:00
Wednesday 15:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00