🚨 BREAKING:Tom Saintfiet kocha mkuu wa timu ya taifa ya Mali amemtema Djigui Diarra kwenye kikosi kinachotarajiwa kucheza michezo ya kirafiki ya FIFA Series
Bongo videos
🔴CLICK>>
http://betwinwins.co.tz/affiliates/?btag=2543935 Find the latest Betway Premiership 2025-2026 standings here.
B&S Sports brings you live match updates, real-time results and up-to-date football tables
25/03/2026
Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake
1. Jiamini (Self-Confidence)
Kujiamini ni sifa ya kwanza inayovutia. Hamaanishi kuwa na majivuno, bali kuwa na uhakika na wewe ni nani, malengo yako, na thamani yako. Mwanaume anayejiamini humfanya msichana ajihisi salama akiwa naye.
2. Kuwa Msikilizaji Mzuri
Watu wengi hupenda kusikilizwa. Badala ya kuzungumza kuhusu mafanikio yako tu, mpe nafasi ya kueleza mawazo yake, ndoto zake, na hisia zake. Onyesha unajali kwa kuuliza maswali yanayohusiana na kile anachosema. Hii inajenga ukaribu wa kihisia (emotional connection).
3. Jali Muonekano na Usafi Wako
Muonekano wako ndio kitambulisho chako cha kwanza kabla hata hujafungua kinywa. Hakikisha unapendeza kulingana na mazingira:
Vaa nguo safi na zilizopigwa pasi.
Zingatia usafi wa mwili na harufu nzuri.
Muonekano nadhifu unaonyesha kuwa unajithamini, jambo ambalo ni kivutio kikubwa.
4. Kuwa na Malengo na Maono
Msichana anayevutiwa na mahusiano ya dhati mara nyingi huangalia mwanaume mwenye mwelekeo. Onyesha kuwa una kitu unachokifanya au unachopigania katika maisha—iwe ni masomo, kazi, au biashara. Bidii na juhudi ni sifa zenye nguvu sana (masculine energy).
5. Mheshimu na Uwe Mkweli
Heshima ni msingi wa kila kitu. Mheshimu yeye k**a binadamu, heshimu mipaka yake, na waheshimu watu wengine pia. Uaminifu na kutokuwa na “michezo” (mind games) humfanya mwanamke akuone k**a mtu anayeweza kuaminika kwa safari ya muda mrefu.
MATANGAZO : 0754575188
✍️🏴Juzi niliposema kuwa Sonia Bompastor sio kocha sahihi wa Chelsea, kuna baadhi mlibisha....
Haya basi usiku wa kuamkia leo, Chelsea wamepigwa 3-1 na Arsenal kwenye mchezo wa raundi ya kwanza wa Robo fainali ya UEFA Champions League ya kina dada.
Unafikiri Chelsea wana kibavu cha kupiga comeback Stamford Bridge? Apana, HATUNA!
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu,William Vangimembe Lukuvi,amefariki dunia leo jijini Dodoma.
Katika salaam za pole Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema “Tumepoteza kiongozi shupavu, mahiri, mwenye uzoefu mkubwa, mzalendo na mtumishi wa umma aliyelitumikia Taifa letu kwa uadilifu, weledi na kujitolea. Mchango wake mkubwa katika ujenzi na maendeleo ya Taifa letu utaendelea kuenziwa na kukumbukwa siku zote”.
“Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa M***a Azzan Zungu, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na Watanzania wote kwa msiba huu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.”
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Address
Dar Es Salaam
255