Mpira wetu

Mpira wetu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mpira wetu, Sports, Dar, Dar es Salaam.

MPIRA WETU
Nyumbani ya habari zote za soka Tanzania na dunia nzima! 🌍🔥
Matokeo • Tetesi • Uchambuzi • Transfers • Highlights • Burudani ya Kandanda
Habari zote za mpira sehemu pekee ni hapa

13/08/2026

Macho mbele Wana Simba wenzangu hii imeshapotea haikua rizki na hatuna sababu ya kulaumiana wala kutafuta mchawi

Kuna nyakati tulikua bora hatukutumia ubora huo kupata matokeo na kuna nyakati mpinzani wetu alikua bora akatumia ubora wake kupata matokeo

Tusikatishwe tamaaa wala tusijipoteze njiani, Tunayo safari muhimu sana mbele yetu Mechi 30 za ligi kuu

Nikiri tu kuwa Timu yetu inahitaji maboresho hasa kwenye eneo la ushambuliaji ndio eneo pekee mpaka saaa bado hatujafanya vizuri

Poleni Wana Simba wenzangu, Nguvu sasa tuielekeze kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi dhidi ya Kagera Sugar

Ally

13/08/2026

NgaoYaJamii2026
Yanga washindi tena wa Ngao ya Jamii...

FT: Yanga SC 1-0 Simba SC

⚽ Albert Kangwanda dk 31

Photos from Mpira wetu's post 12/08/2026

Vikosi vinavyoanza Young Africans dhidi ya Simba SC Ngao ya Jamii 2026

14/05/2026



Mwamba wa Lusaka 🇿🇲, Clatous Chota Chama aendelea kuwasha moto ndani ya Simba SC baada ya kuwa nyota wa mchezo kwa mara ya nne mfululizo. 🔥 Kiungo huyo fundi amefunga mabao mawili dhidi ya Mashujaa FC na sasa amefikisha jumla ya magoli 8 kwenye NBC Premier League msimu huu. ⚽⚽
📊 Goals: 08
🎯 Assists: 04

14/05/2026



Simba SC waondoka na pointi tatu muhimu ugenini baada ya kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Mashujaa FC. 🔴⚪
Ni mara ya kwanza kwa Mashujaa FC kupoteza mchezo wa nyumbani msimu huu.
FT: Mashujaa FC 0-3 Simba SC
⚽⚽ Chota Chama
⚽ Suleiman Mwalimu 🔥

13/05/2026



‘Unbeaten is over’; 🔥
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mikutano yao kwenye Ligi Kuu ya NBC, Dodoma Jiji wamefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga SC.
FT: Dodoma Jiji 3️⃣-2️⃣ Yanga SC
Dodoma Jiji wameivunja rekodi ya kutowahi kuifunga Yanga na kuhitimisha ubabe wa mabingwa hao kwenye mchezo wa leo uliopigwa kwa ushindani mkubwa.

09/05/2026

KMC Kimeeleweka Yanga SC wanasalia kileleni wakifikisha alama 54 baada ya mechi 22 wakiwa wamecheza mechi moja zaidi ya Mnyama huo akifunga mabao mawili na kutoa asisti moja ikiwa ni mchango wa magoli 12 tangu atue jangwani mwezi Januari.

FT: Yanga SC 3-0 Coastal Union
⚽ 18' Okello
⚽ 62' Okello
⚽ Maxi (🅰️ Okello)

08/05/2026

| MATOKEO YA MWISHO
Kwa mara ya kwanza msimu huu wa NBC Premier League, Azam FC imepoteza mechi baada ya kuchapwa mabao 4-1 dhidi ya TRA United. ⚽🔥
FT: TRA UNITED 4️⃣ - 1️⃣ AZAM FC
Wafungaji wa TRA United:

⚽ Ally Ng'anzi
⚽⚽ Ammy Mapaka
⚽ Ramadhani Chobwedo

Bao la Azam FC: .
⚽ Jephte Kitambala

Matokeo hayo yanafuta rekodi ya kutopoteza ya Azam FC katika ligi msimu huu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar
Dar Es Salaam
POSTER