Alfa Fitness Store

Alfa Fitness Store

Share

Alfaqee Fitness is a branch of Alfaqee Investment Co Ltd supplies and deals with fitness equipments We not try us.

Our Company integrates sales of GYM and Home use Workouts for over 10 years .On the basis of perfecting traditonal products, According to modern body-building concepts and requests The best GYM products, Visit us now for your healthy body buildup, we also specialised on commercial gym and have so far supplied gym equipment to many Gyms and government within Tanzania. We are a family run business with pride in our services and quality.

Photos from Alfa Fitness Store's post 01/09/2026

PUSH UP BOARD
✔️ Inakusaidia kufanya push-ups kwa usahihi na kulenga misuli tofauti (kifua, mabega, mikono, na mgongo) kwa kutumia rangi maalum.
✔️ Inapunguza msukumo na maumivu kwenye wrists (vifundo vya mikono) ukilinganisha na kupiga push-ups chini kavu.
✔️ Inakuja na handles zisizoteleza na muundo wa kukunjwa (foldable) kwa urahisi wa kubeba na kuhifadhi.

📞 Call/WhatsApp: +255 784 591 618
Tunapatikana: Kariakoo, near China Plaza
Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na haraka.



01/09/2026

MASSAGE MAT
✔️ Inapunguza maumivu ya mgongo, shingo na uchovu.
✔️ Inalainisha misuli na kuongeza mzunguko wa damu.

📞 Call/WhatsApp: +255 784 591 618
Tunapatikana: Kariakoo, near China Plaza
Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na haraka.



01/09/2026

BE READY! 🏆 Jiandae vyema kwa kila pambano la safari yako ya fitness. Vifaa vyote bora vya mazoezi vinapatikana Alfa Fitness Store.

📍 Dar es Salaam (Tunasafirisha nchi nzima)
📲 Piga / WhatsApp: 0784591618

31/08/2026

Spinning Bike bomba kwa matumizi ya nyumbani sasa unapata kwa 420,000/= Tu! kutoka 450,000/=.
Tupo Kariakoo mtaa wa Uhuru opposite na Benjamin High School.
Call/WhatsApp: +255 784 591 618, Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na haraka.

31/08/2026

TOTAL CRUNCH
Retail and Wholesale Available

📞 Call/WhatsApp: 0784591618
Tunapatikana: Kariakoo, near China Plaza
Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na haraka.........

✔ Mashine ya kipekee inayofanya kazi ya kujenga misuli ya mwili mzima (tumbo, mgongo, mikono, na miguu) kwa wakati mmoja
✔ Inatumia uzito wa mwili wako (bodyweight resistance) ili kuchoma kalori na mafuta kwa haraka na kwa usalama
✔ Kiti na kanyagio vinaweza kurekebishwa kulingana na urefu wako ili upate balance nzuri unapofanya mazoezi
✔ Ina muundo imara lakini mwepesi ambao unaweza kukunjwa (foldable) kwa ajili ya kuhifadhiwa kwa urahisi nyumbani

31/08/2026

Vuta mpaka mwisho, Ongeza juhudi ya mazoezi na 𝙍𝙚𝙨𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚 𝙗𝙖𝙣𝙙.
Call/WhatsApp: +255 784 591 618
Tunapatikana: Kariakoo, near China Plaza

Photos from Alfa Fitness Store's post 30/08/2026

Ofa! Bomba kwa Spinning bike imara kwa matumizi ya nyumbani.⚡
420,000/= TZS.
Tupo Kariakoo mtaa wa Uhuru opposite na Benjamin High School.
Call/WhatsApp: +255 784 591 618, Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na haraka.

29/08/2026

PORTABLE SAUNA SPA (STEAM SAUNA BOX)
✔️ Inafaa kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini (detoxification), kuregeza misuli iliyochoka, na kupunguza msongo wa mawazo.
✔️ Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu, kuchoma kalori, na kusaidia kupunguza uzito ukiwa nyumbani.
✔️ Inakuja na jenereta ya mvuke (steam generator) yenye kidhibiti cha muda na joto (timer & temperature control).
✔️ Muundo wa kukunjwa (foldable) unaowezesha kuisimamisha na kuihifadhi kwa urahisi bila kuchukua nafasi kubwa.

📞 Call/WhatsApp: +255 784 591 618
Tunapatikana: Kariakoo, near China Plaza
Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu na haraka.



29/08/2026

Punching Bags kila Urefu kwa Muonekano tofauti tofauti:
Kuanzia 80cm mpaka 190cm, Pata kwa bei ya OFA

CALL/WHATSAPP: +255 784 591 618
DELIVERY: Tunatuma Dar & Mikoani kote Tanzania

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Kariakoo, Uhuru/muheza Street Near China Plaza
Dar Es Salaam
1524

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 14:00