YANGA DAMU

YANGA DAMU

Share

Daima Mbele nyuma mwiko

21/07/2026

INJINIA ANAGUSA ANAACHIA ANAKUJA KWENU:
Mshambuliaji raia wa Eswatini 'Justice Figareido' anaemaliza mkataba wake ndani ya Chippa United FC tayari alishakuwa kwenye mazungumzo na Rais wa Yanga SC,

MASLAHI BINAFSI:
β€’ Bado hayajafikiwa ila kuna uwezekano mkubwa Yanga SC wakaipata Saini ya nyota huyo,
β€’ Offers zilizo mezani kwake:
= Yanga SC,
= JS Kabylie,
= Mkataba mpya Chippa United
β€’ Mazungumzo bado yanaendelea,

NB:
Hapo magoli yapo.

21/07/2026

Mpaka Sasa club ya yanga Imethibitisha utambulisho wa wachezaji watatu na wote ni wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Photos from YANGA DAMU's post 21/07/2026

ratina imetika tayali ya NBC PREMIER LEAGUE

21/07/2026
21/07/2026

Karibu Jangwani kocha wa magolikipa Greg EtafiaπŸ‡³πŸ‡¬πŸ”°πŸ‘ŠπŸ½


21/07/2026

πŸš¨π”ππƒπ€π“π„π’YANGA HAWATAKI UTANI KWA WAGENI:
Yanga SC imepitisha panga kwa wachezaji wake wa kigeni waliokuwa sehemu ya timu msimu uliopita, wamewabakisha wale ambao Wapo kwenye mpango wa kocha na timu tu:

β€’ Djigui Diarra
β€’ Duke Abuya
β€’ Maxi Nzengeli
β€’ Yao Kouassi
β€’ Aurelio Depu
β€’ Allan Okello
β€’ Shadrack Boka

Wageni wengine wote, hawajatoboa kwenye mipango ya kocha Mangqoba,

NB:
Mwenye swali, uliza kwenye comments nikujibu...

21/07/2026

πŒπŠπˆπ€πŒππˆπ–π€ π˜π€ππ†π€ ππˆππ†π–π€ πŒπ”π–π„ πŒππ€π„π‹π„π–π€....

Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga iko mbioni kunasa saini za nyota (2) ambao wanavitumikia vilabu viwili tofauti vinavyoshiriki Ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL).

Na kuna uwezekano mkubwa wa Kocha Manqoba Mngqithi kutua na nyota hao wawili kutoka Afrika ya Kusini ambao ni winga wa kulia Thulani Gumede (Richards Bay) pamoja na mshambuliaji wa kati Justice Figuareido (Chippa United).

Hadi sasa dili la mshambuliaji Justice Figuareido (27) raia wa Eswatini kujiunga na Yanga limefikia hatua nzuri.

Huku mazungumzo yakiendelea pia kwa Winga Gumede (25) ili kuona k**a wanaweza kunasa saini yake kuitumikia Yanga SC msimu ujao.

21/07/2026

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: YANGA YAMKAMILISHA USAJILI WA MSHUMBULIAJI HATARI JUSTICE FIGUAREIDO AKITOKEA CHIPPA UNITED

Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Eswatini, Justice Johnpaul Figuareido, akitokea klabu ya Chippa United ya Afrika Kusini.

Justice Figuareido ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kucheza k**a winga wa kushoto, kulia au straika wa kati.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alianza safari yake ya soka nchini Eswatini kabla ya kuhamia Afrika Kusini ambako aliwahi kuzitumikia klabu za Maritzburg United, TS Galaxy, All Stars, Richards Bay na baadaye Chippa United. Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Eswatini, akiwa ameichezea katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na kufunga mabao muhimu kwa taifa lake.

Ujio wa Figuareido unatarajiwa kuongeza ushindani mkubwa katika safu ya ushambuliaji ya Yanga, huku benchi la ufundi likiamini uzoefu wake katika ligi yenye ushindani mkubwa k**a ya Afrika Kusini utakuwa silaha muhimu katika kampeni za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na kufanya vizuri katika michuano yakimatifa.

Follow

Photos from YANGA DAMU's post 21/07/2026
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


1334553565
Dar Es Salaam