03/05/2026
Mwenye makombe yake ππSuper captain, jikatie tamaa wew mwenyewe lkn usimkatie mtu tamaa ...
@masesason 0780881280
[email protected]
03/05/2026
Mwenye makombe yake ππSuper captain, jikatie tamaa wew mwenyewe lkn usimkatie mtu tamaa ...
03/05/2026
Wote tuseme Yanga Bingwaaπ
03/05/2026
FTβ|
Simba SC 2π2 Young Africans SC
03/05/2026
Mwamba huyu hapa πππ leo ndio nmeamin makolo uwezo wenu mdogo sana, unaongoza goli 2 alafu zinarudishwa zote mpka unataman mpira uisheπππ
Anyway hatujafurahia matokea
01/03/2026
π°πππππππππ°
π
π Simba SC
ποΈ 01 March 2026
ποΈ Amaan Complex
β±οΈ 02:15 Usiku
conference
21/02/2026
ππππππ¬
"Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote waliotupokea tangu tulipowasili. Mapokezi tuliyopata tangu tulipotua hadi kufika hapa yalikuwa mazuri sana na yametugusa kila mmoja wetu. Ninaamini kila mtu ana hamasa kubwa kuelekea mchezo wa kesho na nguvu hiyo tuliyopewa inatupa motisha kubwa" Pedro Goncalves