15/08/2026
🇪🇸🏆 Ferran Torres (26) ndiye aliyefunga bao lililoipa Hispania Kombe lao la Dunia baada ya miaka 16, na sasa nyota huyo amejiunga na PSG, mabingwa wa Ulaya! 🔵🔴✅
Soma Makala Za Wachezaji/Matukio ⚽️
Rekodi Mbalimbali Za Kimichezo/ Future Star Players. Taarifa Za Michezo/Usajiri. ✅ ALL ABOUT FOOTBALL
15/08/2026
🇪🇸🏆 Ferran Torres (26) ndiye aliyefunga bao lililoipa Hispania Kombe lao la Dunia baada ya miaka 16, na sasa nyota huyo amejiunga na PSG, mabingwa wa Ulaya! 🔵🔴✅
13/08/2026
🚨 BREAKING: Chelsea wameweka Ijumaa saa 11:00 jioni kwa muda wa Uingereza kuwa ndiyo muda wa mwisho wa Enzo Fernández kuondoka.
Manchester City wamekuwa kwenye mazungumzo na wawakilishi wa Enzo kwa siku kadhaa, lakini Chelsea wameweka wazi msimamo wao: wanataka ada £120 milioni, pamoja na masharti ya malipo ambayo tayari yamewasilishwa.
£120 milioni zilipwe kabla ya Ijumaa saa 11:00 jioni, vinginevyo Chelsea hawatamuuza Enzo Fernández Manchester City. 🇦🇷
FIFA Inabadilisha Soka: Watoto Kusaini Miaka 5? ⚽💰
FIFA Yaruhusu Mikataba Mirefu kwa Vijana
FIFA Inabadilisha Soka: Watoto Kusaini Miaka 5? ⚽💰
Tazama full hapa 👉 https://youtu.be/I2TVT__PHAw?si=IBaNYiHQ3Ux_Q1xG
01/08/2026
Real wapo at disadvantage kwa sasa hasa ukizingatia Vini mwaka 2027 anakuwa free agent . Options wanazo Real
1: Kumshawishi kusaini mkataba mpya kwa terms zao
2: Asaini mkataba mpya kwa Terms zake Vini
3: Wamuuze sasa ( hii kumuuza sasa bei watakayopanga inategemea na mnunuaji akubali au akatae )
4: Mnunuaji akikataa na Vini asisaini mkataba mpya .... hapa sasa zinajengeka options zingine mbili
A: Aondoke free summer ya 2027
B: Wakati msimu unaendelea watoboe kwenye kumshawishi kijana asaini mkataba mpya .
Kitu naona kinawezekana ni Arsenal kumsajili Vini Jr katika higher terms kuliko zile Real wameweka mezani.
01/08/2026
Real Madrid is the biggest club in history na kwa ukubwa wao wameweza kuibully karibu kila club sokoni, mpaka wale wacatalunya wanawajua lakini sijawahi kuona wakisweat hivi kwa saga za one of their best players at a prime age. Tatizo la Vini Jr alilitengeneza Perez mwenyewe.
Real Madrid under Vini Jr walibeba 2 UCLs Vini akiwa one of their best players huku alikaribia kubeba p**o, Under Perez kabla Mbappe hajaja ni mara 1 tu Perez alikubali mchezaji kuchukua >50% ya image rights (CR7 60%). Kumpa Mbappe 80% lilikua ni tatizo maana other stars would come knocking.
Leo Vini kesho atakuja Jude , keshokutwa Rodrygo and the drama will continue. Perez amevunja structure ambayo aliitengeneza mwenyewe na sasa anaface consequences. Vini anaona anastahili % anayoipata Mbappe and he has earned that right. Tusubiri tuone hili saga litaishia wapi. 🙌🏿
31/07/2026
KISA CHA KESI YA MUDRYK:
Hatimaye kesi ya Mykhailo Mudryk imefungwa Rasmi baada ya FA na WADA kufikia makubaliano ya kumaliza rufaa iliyokuwa ikiendelea kuhusu matumizi ya dawa zilizokatazwa.
Mudryk alikuwa amesimamishwa baada ya kupatikana na kiwango cha meldonium kilichohesabiwa kuwa kosa chini ya kanuni zilizokuwepo mwaka 2024. Baadaye, WADA ilibadilisha kanuni zake za kiufundi (TD2027MRL) na kupandisha kiwango kinachoripotiwa k**a kosa, hali iliyomaanisha kuwa kiwango kilekile alichokutwa nacho leo hii kisingehesabiwa kuwa kosa. KISA kizima 👇
Je, unafahamu sheria mpya ya MIKATABA kwa wachezaji Walio chini ya miaka 18 itakayoanza kutumika Januari 2027? K**a hauifahamu bofya hapa👇
Je, unajua kuwa mchezaji anaweza kupata sehemu ya ada ya usajili wake pale anapouzwa? Katika video hii, tunaiangalia sheria mpya ya FIFA "Article 21bis" inayomruhusu mchezaji kupata 5% ya ada ya usajili.
Lakini je, sheria hii inamhusu kila mchezaji? Tazama full hapa https://youtu.be/RJoXslyozQ0?si=9YwUv04WqKTpinAP kufahamu masharti mawili muhimu yanayomlinda mchezaji wa kipato cha chini na cha kati.