Ukweli mtupu

Ukweli mtupu

Share

Habar na matangazo

16/05/2026

SH*TUKA BROO
Kule nyekundu na nyeupe ukuwai kuwa injuri kwa mda huo
Vipi huku kijani na njano hii ni talent inayopotea kimya kimya

Ukichukia Sawa wewe shusha comment yako tu napokea

08/04/2026

LAMIN JARJOR

pale kariakoo vipi hatapata namba na unaona jarsey gani zitampendeza Young Africans Sports Club au Simba SC Tanzania

08/04/2026

PANGA LA SIMBA SPORT CLUB
kuelekea dirisha kubwa

1.SOWAH
2.NABY CAMARA
3.DJIBLI KASALY - PIN PIN CAMARA

✍️ Chanzo kutoka ndani ya club kinasema Kelvin nashon amesain simba miaka 2 k**a kiungo mkabaji na mchezeshaji yaani box to box na anauwezo wa kupasia

✍️ Neo maema mda wowote anaweza kusaini mkataba mpya hapo mwanzo Simba SC Tanzania ilikua haina mipango ya kumuongeza mkataba kocha anahitaji maema aendelee kusalia

10/02/2026

Rasmi KIBU DENIS si mali ya simba tena alibakiza mkataba wa miezi Sita (6) na timu yake ya simba kukubali ofa ya million 700 kibu Denis kutimkia nchini libya

JE nipigo kwa simba/ ni faida kwa simba

Dondosha comment yako chini hapo

05/02/2026

Sakata la simba ulivyofuatilia upande upi una changamoto
✍️ JE mashabiki kumpa masaa 72 MO dewj ni sahihi?

Tubishane kwa fact kwenye comment

31/01/2026

Timu ya simba imetangaza nafasi za kazi katika upande wa mashabiki HAYA SASA MCHANGAMKIE FURSA SIO KUMKOSOA MANGUNGU TUU PELEKA MAONO YAKO TIMU YAKO ISONGE MBELE

mda wa mashabiki kutulia kusapoti timu na kushawishi vijana wenye sifa na uchungu wa timu yenu punguzeni malalamiko jitokeze uombe nafasi

Mimi mjumbe nimefikisha ujumbe wangu

30/01/2026

RASMI club ya yanga imemtangaza mchezaji BUBA JAMMEH kuwa ni mali ya wananchi anacheza winga zote mbili ni fundiiii Sana huyu jamaaaa HILI NI BALAA JIPYA MJINI

NIPANGIE KIKOSI CHA YANGA KWENYE COMMENT

22/01/2026

Nini maoni yako

JE sahihi simba kumrudisha chama

18/01/2026

Anaitwa Olivier toure ni beki wakati yaani anacheza namba zote mbili 4 na 5 chanzo cha ndani ya simba kuwa wamemalizana nae na yupo Dar es salaam ni mtu wa maana kabisa

Hapa simba wamepata mtu kazi

17/01/2026

Rasmi club ya simba imemtambulisha mchezaji libasse gueye raia wa Senegal anasifa ya kucheza Winga zote mbili pamoja na namba 10 ile ya kisasa iko fasta na ni hatari mbele ya goli

Mtambo wa mabao na assist umetua msimbazi

✍️ Sultan Jamal

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Keko
Dar Es Salaam
SULDADY