11/08/2026
๐จ๐ฃ ๐๐๐๐๐๐๐๐: Simba nao wamefikia makubalino binafsi na Fei Toto.
Simba wameweka mezani ofa kubwa (haijafichuka) ambayo imeambatana na mkataba wa miaka miwili.
Kuhusu Azam FC,Mnyama anasubiri mauzo ya jezi yakamilike ili wavunje mkataba wa Fei na Azamโฆโฆ.(Pia Simba wanatumia nguvu ya ziada kutoka juu ili kulainisha jambo)โญ๏ธ
Simba wanataka Fei awepo Zanzibar tarehe 12 dhidi ya Yanga.
Wakati huo huo tayari Fei Toto ana makubaliano binafsi na Yanga,ofa ya Yanga ina mkataba wa miaka minne wenye thamani ya tsh 3bilion (tsh 750m kila mwaka) k**a Sign-on fee na wiki iliyopita GSM alikuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na wamiliki wa Azam FC.
Mpango wa Yanga ni kumsainisha mkataba,Fei tarehe 13 mwezi huu baada ya nyota huyo kutoka Rwanda.
Simba na Yanga wako kwenye vita kali sanaโฆ..chochote kinaweza kutokea kuanzia sasa.
11/08/2026
11/08/2026
03/04/2024