Tusibetie timu nchi zao zilizopo kwenye vita leo kimenilamba dadeki fyaaaaπ
NEVES sports
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NEVES sports, Sports, Dar es Salaam.
β½π₯ππ©π¨π«ππ¬ ππ§ππ₯π²π¬πππ²: Usipitwe na π’ Habari za nyota mbali mbali ,Updates za ligi mbalimbali, matokeo ya mechi, uchambuzi wa kina na makala kemkemπ―
ππππ πππππ πππ ππππππ π
πππππππ ππππππ ππππ
β½
31/08/2026
Manina kweli Urusi anaishambulia sana Ukraine yaani hii timu ni ya kukosa bao 1π
31/08/2026
Kwa utatu huu mabeki wa EPL wajiandae maana watalambishwa nyasi vibaya sana BIVπ₯π₯
31/08/2026
RODRIGO DE PAUL KUPITIA INSTAGRAM BAADA YA MESSI KUTANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA.
"Upendo wako usio na masharti kwa nchi yetu, mapambano yako ya ndani ya kutokata tamaa, nguvu zako za kuvumilia kila mara pale unapofanyiwa isivyo haki, uongozi wako na ubinadamu kwa kila mchezaji aliyefika kwenye uwanja wa mazoezi, kuhakikisha anajisikia vizuri, pamoja na namna ulivyowajali kila mfanyakazi wa timu yetu ya taifa."
"Ni kusema tu asante. Mchezaji bora zaidi wa muda wote. Asante kwa kutufanya tuwe na furaha kubwa sana. Huwezi kufikiria ni matabasamu mangapi ulileta kwenye nyuso zetu.
Wewe ni wa milele.π¦π·π"
31/08/2026
JUST INπ΄
Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuchezea Timu ya Taifa ya Argentinaπ.
Baada ya miaka 20+ akiwa anaiwakilisha Argentina, Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuchezea Timu ya Taifa.
Baada ya safari ndefu iliyojaa furaha, maumivu, ushindi na kumbukumbu zisizosahaulika, hatimaye Leo ameamua kufunga ukurasa wake na La Albiceleste.
Asante kwa kila kitu, Leo. ππ
31/08/2026
Manchester United wametumia Β£200M msimu huu wa kiangazi, lakini bado paa la Old Trafford linavuja.
Vipaumbele vyao vinashangaza sana π
31/08/2026
K**a uhamisho wa kina fimbo a.k.a Barcola una cost β¬150M.
Unadhani mtaalamu k**a Ronaldinho enzi zile yupo moto hasa, uhamisho wake ungecost kiasi gani cha pesa?
31/08/2026
CHUKUA HIIβ
οΈ Kwa mujibu wa uchunguzi wa La Gazzetta dello Sport, hakuna mchezaji wa Kiitaliano anayekipiga Serie A msimu huu ambaye amewahi kucheza hata dakika moja kwenye mechi za Kombe la Dunia.
Hii ni mara ya kwanza kutokea tangu msimu wa 1930/31.
31/08/2026
Inadaiwa kuwa klabu ya AtlΓ©tico Madrid ilimpa JuliΓ‘n Γlvarez ruhusa kwa maandishi kuhusu yeye kujiunga na Barcelona na hata kumtaka azungumze hadharani wakati wa Kombe la Dunia kuwa anaelekea Barca.
Lakini baadaye AtlΓ©tico walibadilisha msimamo na kuvunja ahadi hiyo.
Kupitia Jota Jordi [El Chiringuito TV]
Kwa sasa, hii ni taarifa ya Jota Jordi ambayo haijathibitishwa rasmi na AtlΓ©tico Madrid.
31/08/2026
Hiki chuma kutoka Taifa la Japan Daizen Maeda jana kuna muda kilikuwa kimeanza kumpika Dalot sema hakuwa na bahati tu pua umakini wa Dalot.
Ndiyo kwanza jana mechi yake ya 2 toka atue Ipswich kutoka Celtic.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam