08/07/2026
In the right of God
EVERYTHING IS OKAY UNDER CONTROL OF GOD
https://www.facebook.com/profile.php?id=61556051184495
08/07/2026
In the right of God
07/07/2026
KUANGALIA MPIRA NA MWANAMKE ππ€£π
π©πΎβπ¦°"Tim gani zinacheza"
π¨π½βπ¦±"Man City vs Liverpool"
π©πΎβπ¦°"Mimi naipenda Liverpool"ππ
π¨π½βπ¦±"Safi ni timu nzur sana"
π©πΎβπ¦°"ndio timu anayo chezea Messi?"
π¨π½βπ¦±"Hapana hayupo kabisa kwenye hii ligi"
π©πΎβπ¦°"Saw mpenzi .........na yule ndio Drake eeh?"
π¨π½βπ¦±π"hapana....anaitwa Salahπ"
π©πΎβπ¦°"kumbe lakini wanafanana sana, sasa na ile kadi ya njano niya nini?"
π¨π½βπ¦±"Lile ni onyo mchezaji kapewa kwa kucheza rafu"
Baada ya muda Foden akafunga goli
π©πΎβπ¦°ππΌππΌππΌππΌ"huyu aliefunga ndio Salah eeh?"
π¨π½β𦱠(kwa hasira) hapana, huyu ni Foden mchezaji wa Man City"
π©πΎβπ¦°"Kwanini sasa, Liverpool nao wanatakiwa kufunga"π‘π‘π‘
π¨π½βπ¦±π€π€π€
π©πΎβπ¦°"Na ile kadi nyekundu ina manisha nini?"
π¨π½βπ¦±"Ile mchezaji anatakiwa kutoka nje kwa kuvunja sheriaπ₯π
π©πΎβπ¦°"Kwahyo anaenda kuwa kocha sindio"
π¨π½βπ¦±π³π ππ©π«"aaaaaah hapanaaa"
π©πΎβπ¦°"kumbe ni k**a Traffic lights, njano-onyo alafu nyekundu-hatariπ"
π¨π½βπ¦±"yaah ndio hvyo"
π©πΎβπ¦°"enhee vipi kuhusu kadi ya kijani?"
π¨π½βπ¦±"hakuna hyo kwenye mpira"
π©πΎβπ¦°"Nataka Liverpool washinde kombe la dunia"
π¨π½βπ¦±π€π€π€π€
π©πΎβπ¦°"yule baba ni nani alafu mbona anafanana na Mr Bean?"
π¨π½βπ¦±π₯Ίπ°π"ni kocha wa Man City anaitwa Pep Guardiola"
π©πΎβπ¦°"kwanini yeye hachezi sasa?"
π¨π½βπ¦±: πππ
π©πΎβπ¦°: "Alafu huyu nae mbona kavaa jezi tofaut na wenzake mi ananiuzi"ππ
π¨π½βπ¦±:"huyo hi refa"
π©πΎβπ¦°: "yeye anachezea timu gani sasa"
π¨π½βπ¦±: "zima TV tukalaleπ€¨π
17/06/2026
ASHUKULIWE MUNGU
Asante Mwenyezi Mungu nimepata nafasi ya kumshuhudia Lionel Messi wa Rosario akicheza Mpira wa Miguu, Asante Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo na Mungu wa Elia, nimepata nafasi ya kuona moja kati ya kazi ya mikono yako Lionel Messi La Purga, Uzao wa Italia na Hispania unaovaa jezi ya Argentina.
16/06/2026
π¨_|| π¨π£πππ§ππ¦
β‘οΈ Kylian MbappΓ© atavaa beji maalum ya dhahabu kwenye jezi yake katika Kombe la Dunia la 2026. π«π·β¨
β‘οΈ Beji hiyo ya Golden Boot ametunukiwa kwa sababu alikuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar, ambapo alifunga mabao 8 na kuibuka kinara wa ufungaji wa mashindano hayo.
β‘οΈ FIFA imeanzisha beji maalum za kutambua mafanikio ya wachezaji katika Kombe la Dunia, na MbappΓ© ni mmoja wa nyota watakaovaa beji ya Golden Boot kutokana na rekodi yake ya ufungaji.
π Heshima hii inaonyesha ubora wa MbappΓ© na mafanikio yake makubwa kwenye jukwaa la dunia, huku akilenga kuongeza idadi ya mabao yake na kuvunja rekodi zaidi katika Kombe la Dunia la 2026.
I got over 100 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! π
16/06/2026
Yanga vs Azam
Kukiwasha Zenji