Hii nyimbo haina uhusiano na chochote Guys π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Haji Manara
Former Spokesman for Tanzania's biggest clubs Simba SC & Young Africans SC
Naitwa Haji Aziiz Sunday Manara Kii.
Sitaki Maswali ila shughuli kwishnehi.
Ghalib eeeeh πππππππ
11/08/2026
Maneno niliyowaambia Young Africans Sports Club watachukua ubingwa hadi 2030 yanaenda kutimia k**a mkiendelea kushikwa sharubu kila siku.
Huu usajili ni bora sana kwa Yanga kiufundi na kisiasa za football!!
Kiufupi Mnapigwa nje ndani na wenzenu, nyie endeleeni na drama za migogoro isiyokwisha kila uchwao.
Halaf mnakuja kucomment eti nimeumia na team yangu ya moyoni?
Moyoni hiyo kwioooh??
Mmekuwa underdog hata kwenye usajili?
Selemani Mwalimu anakwenda kuwa Star mkubwa pale Jangwani, ni aina ya Striker wa kiyanga yanga na atafunga mno pale, nyie ndugu zangu mmebakia porojo tu hadi mnamuingiza chaka mdogo wangu Ahmed Ally !!
Imagine ile Clip aliyoitengeneza π³π³
10/08/2026
Ilikuwa Weekend Bomba sana kwa Watu wa football na Burudani kwa ujumla.
Itβs was amazing na tulienjoy kwa kila kitu, no matter team zote tulifungwa nyumbani !!! kwangu yalikuwa majaribio ya kirafiki zaidi kujiandaa na next season.
Pia Level ya utambulisho wa Wachezaji wa juzi na jana haijawahi kufikiwa before,natamani niwape zawadi hata ya maua ya asumini!!
Simba na Yanga mnastahili pongezi nyingi na binafsi mmenipa furaha kubwa kwa kila nukta nilipokuwa nikiangalia Matamasha yenu yaliyomalizika weekend iliyoipita!!
Hongereni sana Wadogo zangu wapendwa Ahmed Ally na Ally Kwmwe, hakika mmeweza nyie na Clubs zenu,Good performance Guys !!
Am proud of you my young brothers
ππππππππππππ
Na K**a Msemaji wa Team za Taifa nawatakia kila la Kheri Team zote zitakazowakilisha Nchi kwenye msimu huu wa 2026/27.
Maslahi ya Tanzania yatatanguliwa kuliko Clubs zetu pendwa,INSHA'ALLAH
πππππππππππ π
Young Africans Sports Club
Simba SC Tanzania
09/08/2026
SALAAM TOKA KWA SEMAJI LA TAIFA LA MICHEZO NCHINI.
Hongereni Simba Sports kwa Tamasha zuri la jana lenye ubunifu mkubwa na liliosheheni burudani kabambe,ukiachana na matokeo ya kwenye mechi ambayo haikuwa nzuri kwenu
HAKIKA MMEWEZA
ππππππππππππ
All the best Dar es salaam Young Africans leo kwenye Tamasha kubwa la Siku ya Wananchi na tunategemea kupata burudani ya kutosha kwa watakaokwenda Stadium na sie tutakaokuwa Majumbani.
Kachangamsheni Nchi na matukio bora tunayoyatarajia jioni ya leo.
HAKIKA MTAWEZA
ππππππππππππ
Simba SC Tanzania
Young Africans Sports Club
24/07/2026
Pengine labda sijaeleweka au nikubaliane na moyo wangu kwamba kinachofanyika ni deals hewa π³
Tunasajili Foreign Players kumi na Mbili ambao wengi wao uwezo wao hautofautiani na hawa local players wetu.
Kwa nini tusisajili foreigners, letβs say Watano hadi Sita wenye Quality kubwa? tukawachanganya na hawa wakwetu,kuliko kuleta Waomba Mungu na ikifika dirisha dogo tunawatema tena k**a kawaida yetu?
Au k**a tunasajili tu kwa fashion ili kufurahisha fans wetu mseme very clear, Mnawaaminisha uongo uongo mwisho wa siku ni yale yale ya kila siku!! Business as usual π³
Labda kauli zangu haziwafurahisha sana lakini kiukweli mliopewa dhamana hamtimizi malengo ya Washabiki wa Soka nchini ya kuweza one day kushinda Champions league ya Afrika au hata kufika Semi final !!
Sajili zenu ni hadaa za kuzuga Wafuasi wenu ili kujionyesha mna target kubwa ilhali nyie wenyewe mnajua ni full Chupli za kushindana hapa hapa kwa Mama Samia !!
Ok,k**a ilivyo ada ya Viongozi wengi wa kibongo mnaotaka kusifiwa na kusujudiwa tu, na kila anaekosoa ni adui.
Sasa nawaelekeza leteni Chawaz wenu wanitukane ila MSG SENT na muda utaongea na haya β MAGALASAβ yenu mnayoleta ya dola laki lakI PLUS 10%π³π³π³π³π³
Nb:UKWELI MCHUNGU
29/05/2026
Leo tarehe 29/5/06 baada ya Swala ya Ijumaa saa saba na nusu kwenye hoteli ya Johari Rotana hapa jijini Dar es salaam,,nitaongea na Waandishi wa habari tukiwa pamoja na Baraza la Michezo la Taifa ( BMT )
Karibuni sana Wanahabari wenzanguππππππππππππ
30/04/2026
Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!!
Tulionyesha kujiamini kupitiliza nje ya uwanja na kufanya mbwembwe nyingi za kipuuzi,Show za kindezi kibao kabla ya mechi tukasahau uzito wa kukutana na Makolo.
Mnawaaminisha hadi Washabiki wetu kwamba ni ise tu kwetu,Mechi hz hazihitaji mazoea.
Derby haihitaji dharau na tusipokuwa makini watatukanda tena jumapili!!
Na Wallah Wakishinda ntakuja na viboko hapo kaunda kuwatandika.
29/04/2026
Zimebaki Saa Chache Mno kabla ya Wanaume Wawili kutifuana kule Zanzibar.
Ninategemea kuona Mechi nzuri itakayoamua Bingwa wa kombe muhimu la Muungano leo pale Amaan Stadium !!
Natamani kuona Team ya ikishinda tena mechi hii lakini sio rahisi sana,Simba imejiimarisha uwanjani, tunapaswa kudhihirisha ubora wetu kwa mikakati maalum huku tukiweka akiba ya mchezo wa Ligi kuu pale Mbweni Jumapili.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Kariakoo
Dar Es Salaam