Yanga wanacheza kikubwa sana..
Yanga Sc Group of Supporters
Page hii ni maalumu kwa Mashabiki wote wa Yanga Sc.....
Yanga Sc Group of Supporters
#USHINDI NI TABIA YETU
05/09/2026
Seleman weeeeee
05/09/2026
Hawa tuwaache walale watakuja Dar es Salaam, hakuna haja ya kupaniki hawa tunaweza kupiga tano nyumbani
05/09/2026
Eneo la kiungo linashindwa kuwa na ubunifu , apungue kiungo mmoja aingie Ki Aziz
HT Ganorone UTD 1 Vs 0 Yanga Sc
05/09/2026
Dk 37
Gaborone Utd 1 Vs 0 Yanga Sc
05/09/2026
Weka utabiri wako wa KIkosi cha Yanga dhidi ya Gaborone Utd
CAF Champions League š„
Gaborone Utd Vs Yanga Sc
Na akiendelea na mdomo tuta msajili tena awe mpanga koni mazoezini
Yanga wakikutaka huwezi kukataa ndio Timu kubwa Afrika Mashariki
04/09/2026
Jumamosi Hii CAF Champions League
Gaborone Utd Vs Yanga Sc
Muda: 2:00 Usiku
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam