27/05/2026
Mbinguni kunawatu wanadhani tunaenda kwakwenda kanisani wakati wapo wanaenda kwa mazoea na kuwaridhisha watu kwamba waone kwamba unaendaga kanisani kwahiyo unakuta watu wengi wanajazana makanisani lakini Hawana uhalisia wa mtu aliemfata Mungu k**asehemu ya kuongea na Mungu.
Ebu niulize wewe unaendaga kwenye nyumba ya Mungu ukiwa na msingi gani?.....
(a)K**a mtoko wa siku kwasababu huna pa kwenda.
(b)Kuwaridhisha wazazi au ndugu kwasababu wanafurahi na wanataka uwe Unaenda kanisani
(c)Unaenda kuzungumza na Muumba wako na kumpa haja zako na kutaka majibu Yako pamoja kumshukuru na kumwomba Mungu.
(d)Unaenda kwasababu ni wajibu au unaipambania dini?...
(e)Unaenda kwasababu unataka mchumba au mke
(f) Kwasababu ndio safari ya Mbinguni na kuishi kwa tumaini la Uzima
27/05/2026
Kumbukumbu ya kombe la dunia ambalo lilipita Tanzania kabla mashindano hayajaanza kuchezea Qatar hii ni kumbukumbu inayodumu siku k**a ya Leo Uwanja wa mkapa.
Nimesahau picha nilipigwa na nani!!
hii hivi tulikuwa wote taifa? ? ......
09/05/2026
Mzee wa black and white Sport's Knockout na Ally Kamwe baada ya kipindi Mjini Fm 92.5 Dar es salaam.
Muhubiri 9:11 soma hapo utajifunza kitu
Follow Instagram
08/05/2026
Tumekutana na Ally Kamwe kwenye Sports KnockOut nampua yangu๐๐๐ Domo langu ๐๐๐ nchi ngumu sana hii
04/05/2026
Hapo Vipi ๐๐๐๐
03/05/2026
Israel Patrick Mwenda kwani kimetokea Nini?!! Mbona Mimi sikuona k**anumecheza vibaya ila niliona kadi ya njano tuuu kwani ndo unalaumiwa nayo?......
๐ซช๐ซช๐ซช๐ซช๐ซช
Sio kweli labda k**a kunatukio lingine ambalo sikuliona
03/05/2026
No Caption?......
Mungu alisema usiogope!! Binadamu yoyote asikutishe k**a una Mungu muumba mbingu na na nchi na vilivyomo!! Amesema usiogope,K**a Musa alipita bahari ya sham na Jeshi la wamisribliliangamia nani atakuogofya tena?!!!
K**a Daniel alitoka mzima kwenye tundu la Simba nani atakuwa hatari kwako?.......
Don't fear any more!!...
22/04/2026
Kufanikiwa ni nini?
Mafanikio yanapimwaje?
Kukua ni nini?
Kukua kunspimwaje?......
Kwenye maisha yako usitafute Umaarufu tafuta kuwa na brand!!
ni nini?
๐Umaarufu ni mzigo kwenye maisha
๐Brand ni value kwenye maisha
Swali Chagua kimoja pesa na furaha
๐Furaha ni kombe lililojaa Ushindi wa vitu vyote
๐ตPesa nijibu la mambo yote lakini sio garantii yakuwa na furaha.
Andika hapa Unataka HELA au FURAHA?.....
Follow