02/08/2026
Ngoma ni kiungo kiraka (versatile) mwenye uwezo wa kucheza k**a “single pivot” kwenye mfumo wa 4-3-3,pia anaweza kucheza k**a “Box to Box” kwenye mfumo wa 4-2-3-1.
Ngoma ni Mchezaji mwenye ufundi sana silaha ambayo inamfanya kucheza under-pressure na kumfanya aitoke pressing ya timu pinzani…..kwa kifupi ni “Press resistant player” 🙌
Ukiachana na ufundi Fred ana nguvu,kasi na uwezo wa kufunga safari kwenda kwenye ya timu pinzani…..Jamaa anakupa ulinzi na progression.
Mwisho kabisa Ngoma ni Deadball-specialist Jamaa anapiga sana faulo…..narudia tena jamaa anapiga sana faulo🙌
Yanga wamepata mali Aisee🙌
Nafikiri mtamfaidi sana kwenye Darby sio Siku ya Wananchi.
28/07/2026
Real Madrid ya bongo wao hawana muda wakusajili wanaojitafuta wanasajili wanaotafutwa
Kazi tunayo walah.
28/07/2026
Kumbe mnyama alishamsajili kabla ya Young Africans Sports Club 😲
28/07/2026
Mashabiki wa Simba sc wanamsema Shalulile kiwango kimeporomoka.
Mashabiki wa Young Africans Sports Club nao wanasema Doumbia hamna kitu, katoka timu inayoshikilia nafasi za kati kwenye ligi yao
Wewe mdau usiye na timu ungepita na nani hapo?
27/07/2026
EBWANAEEEEEEE!!
TAJIRI KATOKA KUMWAGA PESA HUKO
CAF ISIPOKUJA BONGO MMEISHA.
27/07/2026
JIESIEMU KASHANYA YAKE HUKO
𝐆𝐒𝐌 𝐊𝐀𝐌𝐀𝐋𝐈𝐙𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀!
Bosi GSM ametoa zawadi ya Birthday kwa Rais wa Klabu yetu Eng. Hersi Said na WANANCHI kwa kushusha Sajili 𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀 zaidi Afrika!🌍🔰🙌🏽
Kaa Tayari…
26/07/2026
𝘽𝙍𝙀𝘼𝙆𝙄𝙉𝙂 𝙉𝙀𝙒𝙎: Klabu ya Real Madrid imefikia makubaliano na RB Leipzig juu ya kumsajili winga Yan Diomande 19, raia wa Ivory Coast kwa ada ya uhamisho inayoripotiwa kufikia euro milioni 130 pamoja na nyongeza.
Vigogo hao wa Uhispania tayari wamefikia makubaliano ya maslahi binafsi ya winga huyo ambaye pia alishakubaliana na Paris Saint Germain ambayo ilishindwa kufikia dau lililotakiwa na vigogo hao wa Ujerumani.
Nyota amekubali ambaye awali alitaka kujiunga na PSG na kufikia makubaliano ya maslahi binafsi sasa amegeuzia malengo yake Real Madrid na amekubali kusaini mkataba wa miaka mitano utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2031.
Nafasi ya Vin Jr mashakani.
Mourinho anasuka bomu.
26/07/2026
K**A KWELI NI HICHI KIUMBE😲
NAKUABALIANA NA ALLY KAMWE KUWA AKITOKA DIENG AFRICA NI HUYU MWAMBA.
𝐇𝐔𝐘𝐔 𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐊𝐔𝐋𝐈𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐓𝐀 𝐔𝐘𝐎 𝐆𝐈𝐑𝐈𝐌𝐔𝐆𝐈𝐒𝐇𝐀
Tetesi zinasema kwamba namba 6 wa Young Africans Sports Club ambaye anatarajiwa kutambulisha ni huyu kiumbe wa kuitwa Mohammed Zougrana Kutoka pale Algeria kwa Majili MC Alger,Ikumbuke kabla ya kujiunga na MC Alger Yanga walimtaka kipindi yupo Asec Mimosas lakini sasa Amebakisha mkataba wa mwaka mmoja
Kwangu mimi utakuwa usajili Bora k**a itakuwa kweli hata huyo Girimugisha kwasababu Yanga sasa Hawana uhaba sana wa Mawinga na uchezaji wa Girimugisha ni k**a Pacome ila tatizo la Yanga ni kiungo mkabaji,toka kuondoka kwa Aucho wamekuwa wakibahatisha wachezaji
K**a kweli ni huyu basi utakuwa usajili bora ambazo Yanga imefanya msimu huu na huu ndo utakuwa usajili bora pia k**a atakuwa wa mwisho kutokana na kiwango chake na umri wake ila tusubirie tuone
NB;Huyu dogo anajua mpira hadi anajua tena naamini k**a kweli anaweza kuziba pengo la Khalid Aucho zaidi na zaidi ila K**a siyo yeye hakuna no.6 zaidi ya DIENG AFRICA ,ntapingana wazi wazi na Ally shaban Kamwe.
26/07/2026
Unaijua Double pivot wewe?
Mimi sipendagi shida yani ningekuwa ndiye kocha hapa kubahatisha nisingeweza kabisa, kwakuwa hawa viungo wanacheza namba moja lakini sifa zao ni tofauti uwanjani
Wote wapo vizuri
Kwahiyo k**a hela ipo ningechukua wote then nawaweka pale chini kwenye dimba la kati wote wawili au nasajili wote halafu nawapima uwanjani atakae fiti kwenye mfumo anabaki mwingine dirisha dogo anatoka
Huu siyo muda wa kubeti tena dirisha dogo liko mbali mtu wangu unaweza ukachapika mpaka dirisha dogo lifike unakuwa nje ya ramani isitoshe mashindano ni mengi muda mchache,
No.6 inatafutwa kwa muda mrefu sasa
Wewe mdau ungepita na yupi hapo?
CHUKWU VS AKAMINKO