Alikamwe mbona hatumsikii jamn
Simba fans
Tunashirikiana na mashabiki kufurahia ushindi na matukio makubwa ya soka duniani.
Unaikumbuka simba ya chama Morrison, boko, Luis na bwalya
Simba 1 yanga 0
Uliangalia hii mechi ukiwa wapi??
Mara ya mwisho simba kucheza na Adam matokeo yalikuwa ivi je unaonaje kiwango cha simba kuelekea finalized ya crdb wwka comments yako
wamefungwa bana hiii ni nidhamu ya uoga kumwogopa myama simba simba n kubwa bana
Dondosha coment yako na kopa kwa simba
Simba aendeleza ubabe kwa costal union
Simba 4
Anglia magoli yote kwa Aman na furah then useme nani kaupiga mwingi leo
Tumeshinda 4 tumeingia final chura wahedi habari ziwafikie msije mkatukimbia tuuu jamani 🐸😀🐸
Hii ilikuwa ni mates kwa FC platinum
Simba 4 fs platinum 0
Klabu bingwa simba. N mwamba ww unakumbuka mechi gani tuweke apa highlights tukutane kwa comments
20/06/2026
Kikosi cha leo.
Unakuonaje kikosi hiki toa comment
20/06/2026
Wakuu support ❤️
Kushare ,like comment pia wakuu kwa winging tudaidiane
Je simba ataendeleza ubabe wake mbele ya wagosi wa Kaya n leo saa 9
Weka comment yako kujua unawatakiaje mema simba
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Seniormsuya@gmail. Com
Dar Es Salaam